Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

Kitabu kinakwenda kwa jina "The Zanzibar Revolution" By Field MAshal John Okello.Nilibahatika kukisoma mpaka 'CHAPTER 5'.MTUNZI AKIWA NI YEYE MWENYEWE NA KUSAIDIWA KUANDIKA NA JAMAA FULANI, ANAELEZA KUWA WATAWALA WA AFRIKA MASHARIKI WALIMUHOFIA SANA KUTOKANA NA UELEWA WAKE MPANA KTK MBINU ZA KIVITA NA HATA USHAWISHIKWA WANAJAMII.Ni nini hii sasa?Lengo liko wazi!!Watawala, watawala, watawala!
 
ni waz karume hakuhusika, alipewa nchi dezo tu bila jasho na alipohakikishiwa ulinzi na mwl akakubali kuiuza zenj kwa muungano wenye utata ambao hadi leo wa zenj wanalalamika, bora hata A.babu angekua rais bt huyu karume alikuwa bogus tu mnywa kahawa.
 
Mwka 1964 siku thelathini baada ya uhuru wa bandia wa Zanzibar, wanamapinduzi kumi na nne wakiongozwa na mpigania uhuru John Okello aliwaongoza kwenye mapinduzi ya Zanzibar yaliyokuwa na umwagaji mkubwa wa damu.

Baada ya mapinduzi kufanikiwa John Okello [kiongozi wa mapinduzi] alichukua jukumu la kutangaza mapinduzi kwenye radio Zanzibar, ikumbukwe pia wakati mapambano yakiendelea ..aliyekuja kuwa rais wa Zanzibar mzee Karume na Babu walikuwa mafichoni na hawakushika wala bisibisi kwenye mapinduzi na hata ukiangalia ile picha ya wanamapinduzi ya kwanza John Okello amevalia kipolisi na amekaa kama kiongozi rasmi.

Baada ya hali kutulia Okello anamtangaza Karume rais na Abdulrahman Babu kuwa Waziri mkuu. Na ndie aliyeenda kumpokea Karume kutoka alikokuwa amejificha kwa siku kadhaa.

Baada ya siku chache mzee Karume akamfukuza Zanzibar kama mbwa John Okello [Field Marshal] na bila kujali mchango wake anatokomea kusikojulikana na historiaa ya mapinduzi ikafutwa na nafasi ya Okello ikaja kuwa mkwezi, mpiga tofali ambaye alibahatika kupiga picha [akiwa amekaa kitini katikati tu kwa sababu ya kuwa na kipaji cha kuongea - (kumbuka kuwa hata kiswahili chake kilikuwa 0kibovu)]

Naomba kuchokoza mada kuhusu nafasi ya John Okello kwenye mapinduzi, kwa nini historia ilifunikwa?

Je aliishia wapi,..wapenda historia ya kweli wameshatamani hata kujua lilipo kaburi lake..kumbukeni wenzetu Kenya baada ya kugundua hila wanahaha kutafuta kaburi la Field Marshal Dedan Kimathi...mbona wapenda hitoria Zanzibar na Tanganyika kwa jumla hamumtendei haki JOHN OKELLO [FIELDMASHAL]?
Watu wange[enda lupindisha historia kulingana na matakwa yao ya kisiasa, hasa kwa leo, muda mrefu baada ya mapinduzi ya Z'bar mwaka 1964.
Cha msingi ni kutazama standing facts na conclusions mtu atazijaza mwenyewe.
Tuelewe kimsingi kuwa WALIOPINDUA Zanzibar ni makundi ya waafrika walioungana, kuna waliotoka bara, Kenya na toka Uganda kama vile Okello.
WALIOPINDULIWA ni kundi la watawala, wakati huo chini ya vyama na uongozi wa serikali ya waarabu.

Makundi haya hasimu yamekuwa na tofauti za kimsingi na kubwa sana , na moja kati ya tofauti hizo ni UBAGUZI.Hili halisemwi na wengi sana.
Uzanzibai na Uzanzibara ulitumika kumg'oa Okello Zanzibar.Kama alivyodokeza Mwalimu suala hili la Uzanzibari na Uzanzibara ni matokeo ya ubaguzi uliokithiri katika jamii hii.Na dhambi hii imekuwepo kwa karne na karne waanzilishi wake wakiwa watawala waarabu.

Ubaguzi haukumalizika na mapinduzi ya 1964 bali yaliingia chinichini.
Nakumbuka mnamo miaka ya 1980's kule Pemba Kawawa alipotembelea kisiwa hicho kulikuwepo na maalamiko kwamba kwa nini serikali imezuia watwana toka bara kwenda kulima Pemba.
Kawawa alishangaa sana na kuwauliza kuwa bila watwana basi nyie hamli chakula?

Hivi ni moja ya vielelezo vya kwa nini watu waliokulia na kuishi katika ubaguzi wa aina fulani wanavyoweza kujisahau asili yao.

Mwaka 1964 mimi nilikuwepo Dar nikiishi Temeke karibu na Mgulani-sehemu iliyokuwa kambi kubwa ya jeshi kuanzia vita kuu ya pili.
Mwaka huo ulikuwa wa misukosuko mingi sana kwa serikali changa ya Tanganyika ,Zanzibar na hata Kenya na Uganda.

Baada ya Mapinduzi Zenj, vugu vugu la vurugu lilihamia Dar, na mimi nilisikia hata milio ya risasi katika majaribio ya maasi.
Kenya nako misuko suko ya kijeshi ilikuwepo na hivyo Afrika Mashariki hakukuwa kwema sana , ikia pamoja na Uganda.

Katika mazingira haya mtu kama Okello , mtu ambaye ana asili ya bara, isingekuwa rahisi kubaki Zanzibar,Tanganyika au hata Kenya.
Leo angeitwa terrorist!
Hii ni pamoja na ukweli kuwa kuna wabara wengi walioshiriki vile vile mapinduzi hayo ya mwaka 1964.Namfahamu Jenerali mmoja mstaafu mwenye simulizi nyingi sana za matukio ya wakati huo, na ni jinsi ipi wabara walishiriki, nayeye akiwemo.
 
MGENI HAWEZI KUWA BAUNSA NYUMBANI KWAKO

Alitegewa mtego huu na ukamnasa.
>aliambiwa na karume,nyerere anataka kuongea naye uku dar
>kufika dar nyerere hayupo,
>ndege ya kumrudisha zanzibar hakuna,
>na baada ya hapo mawasiliano na zanzibar hakuna,
>akawa anawasiliana na waziri mdogo wa bara,
>asubuhi alikuta gazeti ya udaku mezani !OKELO UNWANTED IN ZANZIBAR! hakuamini macho yake lakini alihisi kuna ukweli.
>alipo fanikiwa kuonana na nyerere ..... kaka alimuuliza, ampe msimamo wake kuhusu karume. baada ya kubabaika kujibu. nyerere akamwambia kikao kesho. iyo kesho aliambiwa waonane nairobi. alipelekwa na ndege had nairob apo alipokelewa na waziri mdogo wa kenya na kupakiwa gari private then akapelekwa kwenye hotel ya kifala sana, mwisho hakuna mtu alikuja kumwona. wenye hotel wakaanza kudai bili, yule waziri alikuja kumwokoa dk za mwisho na kumpa nauli ya kurudi kwao uganda ya kaskazini. kifupi mkutano wake na nyerere uliishia nyerere kumwuliza swali.
Jamaa aliacha mali zake zote zanzibar, hadi masendeu

baada ya hapo alikuja kamatwa tena maeneo ya mwanza akielekea Angola/Namibia ili kufanya mapinduzi uko, akarudishwa tena UG. baada ya hapo haijulikani kama mzima au la?

Funzo, ubaunsa fanya kwako, ama sivyo utafanywa hamna!
 
Jamani wadau naomba mnisaidie hili.Hivi yule Field Marshal Kamanda mkuu wa mapinduzi ya Zanzibar John Okello aliyefukuzwa kama mbwa na Karume yuko wapi,au kama amekufa alifia wapi na maisha yake yalikuwaje baada ya kufukuzwa Zanzibar?
 
Ni vigumu kutambua ukwel wa ni wap huyu kamanda alpofia,nafkr serikal ya wakat huo ndiyo yenye ukwel wa Okello.
 
Habari za kuaminika ni kwamba ,baada ya kufukuzwa na karume Okello alienda kenya kupitia mombasa na alikimbiliaäkongo baada ya kunusurika kuawawa mara nyingi na makachelo wa karume,mwaka I971 alionekana akiwa na idd amini .idd amini alipo jitangaza fidel marshall hakupenda wawepo mafidel marshall wawili kwa hiyo alimua kwa wivu akiwa uganda
 
Wakati huo huo tusisahau kuwa wengine ambao tunalazimishwa kuwasahau ni
Abdulwahid na Ally Sykes, Hamza Mwapachu, Tewa Said Tewa,Ali Migeyo , Suedi Kagasheki,Dossa Azizi,Abdulkarim Karimjee,Chifu Abdieli Shangali wa Machame, Kleist Sykes,Ally Sykes na Abdulwahid Sykes

kwa uchache sasa huyo Okello alikwa ni just one in a million na at least eyey leo anazungumzwa


kizazi cha wadogo zetu wanaomaliza form 4 hawawajui hawa mashujaa kabisa....
 
Asanteni kwa darasa hili zuri. Ni wajibu wetu kuweka hai historia za mashujaa wetu na jamii kwa ujumla.
 
je? TANGANYIKA ilikua nchi huru ...9/12/1961 .mkataba wa uhuru katiya serekali ya wakoloni uingereza na wapigania uhuru wa tanganyika uliandikwaje?? je mkataba huu wa uhuru upo wapi ?? .je?....ilikua na utawala wake....Alie ongoza mapinduzi ya ZANZIBAR ni ....FIELD MARSHAL .......JOHN..OKELO alitia sani katika hati ya muungano je? kwanini TANGANYIKA ilibadilishwa jina na KUITWA TANZANIA BARA kisha ZANZIBAR ikabakia na jina lile lile je? ULIFANYIKA UHAINI ilikuangamiza nchi ya tanganyika!!...je?...field marshal JOHN OKELO..anakumbukwa ktk historia ya ZANZIBAR..."HALITA SALIA JIWE JUU YA JIWE kabla ya kurudi kristo YESU"
clip_image002.jpg


john okelo.jpg clip_image002.jpg clip_image002.jpg
 
Ebwanaeee......kwanini hukufunguka zaidi ndugu???ningependa kujua zaidi kuhusu huyu jamaa field marshal JOHN OKELO kwani alikua anamchango mkubwa sana kwenye mapinduzi ya zanzibar alakini nashangaa kwanini huwezi sikia akitajwa kwenye lolote kuhusu mapinduzi ya zanzibar au hata kuhusu lolote kuhusu tanganyika.tafadhali ndugu funguka kwani nahisi kuna usiri flani katika huyo jamaa,unajua tuko katika serekali ya kidikteta inayojaribu hata kuficha historia,historia ni yakuenziwa hatakama ni mbaya,huwezi ficha ukweli.tafadhali anaeweza kufunguka kuhusu FIELD MARSHAL TITO OKELO atusaidie
 
[h=3]Youth[/h] Little is known of Okello's youth although he was baptized at age two and given the baptismal name of Gideon. He was orphaned at age eleven and grew up with other relatives. When he was fifteen, he left and set out on his own and found work in several places within East Africa. At various times, Okello was a clerk, manservant, gardener, and in odd-jobs. He later went through training to become a bricklayer. He was arrested in Nairobi, (Kenya) for unclear reasons and was incarcerated for two years, during which time he became interested in revolutionary ideas.
There is some speculation that, at some point, Okello had a residence in Cuba and was taught Communism by Fidel Castro.
[h=3][edit] Police officer on Pemba[/h] In 1959 Okello left for the island of Pemba, where he tried to find work on one of the farms, but became a police officer instead. Okello joined the Afro-Shirazi Party of sheik Abeid Karume. This party opposed the domineering position of the minority Arabs on the islands of Zanzibar and Pemba.
[h=3][edit] Revolutionary[/h] Okello left for Zanzibar in 1963, where he contacted the leaders of the Afro-Shirazi Youth League, the youth organisation of the Afro-Shirazi Party. The Youth League strived for a revolution in order to break the power of the Arabs. On Zanzibar, Okello was also a member of the Painters Union, being a house painter. In his free time he built up a small army of determined African nationalists. This army was required to hold themselves to the strict rules of Okello: sexual abstinence, no raw meat and no alcohol.
The highly religious Okello was convinced he had been given orders in his dreams by God to break the powerful position of the Arabs and to found the revolutionary state on Zanzibar and Pemba. On the night before the "revolution", Okello gave his men the order to kill all Arabs between 18 and 25 years of age, to spare pregnant and elderly women, and not to rape virgins.
[h=3][edit] Uprising[/h] On January 12, 1964, with popular support from the island's oppressed native African majority, Okello and his men fought their way to the capital of Zanzibar, Stone Town, where the sultan lived. Even though they were poorly armed, Okello and his men surprised the police force of Zanzibar and they took power.
During a speech on radio, Okello dubbed himself the "field marshal of Zanzibar and Pemba". He gave the sultan an order to kill his family and to kill himself afterwards; otherwise, Okello would do so himself. However, the sultan had already brought himself to safety later to be harboured in Britain. The prime minister and other ministers also managed to escape.
The coup led to the poorly-known massacre of between 5,000 and 20,000 Arabs, whose families had been living in Zanzibar for centuries, between January 18 and 20. Footage of the massacre can be seen in Gualtiero Jacopetti's film Africa Addio, a 1966 exemplar of the Mondo film genre.[SUP][1][/SUP]
[h=3][edit] Shoved to the side[/h] Okello created a Revolutionary Council and named the leader of the Afro-Shirazi Party, Abeid Karume, as president and leader of the (Arabic) Umma-(Massa) Party, sheik Abdulrahman Muhammad Babu as prime minister (later: vice-president). Both Karume and Babu had not been informed of the coup. Both residing in Tanganyika, but returned to Zanzibar, where they were welcomed by Okello. However, neither Karume nor Babu wanted anything to do with him. Afterward, Okello appeared to be too unstable to play any role in government of the new country and was quietly sidelined from the political scene by Karume, who allowed him to retain his title of Field Marshal.[SUP][2][/SUP][SUP][3][/SUP]
By 3 February Zanzibar was finally returning to normality and Karume had been accepted, almost unquestionably, as its president.[SUP][4][/SUP] Okello formed a paramilitary unit, known as the Freedom Military Force (FMF), from his own supporters which is known to have patrolled the streets and become involved with looting.[SUP][5][/SUP][SUP][6][/SUP] In addition Okello's violent rhetoric, his thick and dialectic English pronunciations and Acholi tribal English accent- typical of Acholi from Northern Uganda, and his Christian beliefs alienated many in the largely moderate, Zanzibari and Muslim ASP.[SUP][7][/SUP] By March many of his FMF had been disarmed by Karume's supporters and an Umma Party militia.[SUP][6][/SUP][SUP][7][/SUP] Okello was denied access to the country when he tried to return from a trip to the mainland and deported to Tanganyika and then to Kenya before returning, destitute, to his native Uganda.[SUP][7][/SUP] He was officially removed from his post as Field Marshal on 11 March.[SUP][8][/SUP]
The People's Liberation Army (PLA) was formed by the government in April and completed the disarmament of Okello's remaining FMF troops.[SUP][7][/SUP] On 26 April Karume announced that he had negotiated to enter into a union with Tanganyika to form the new country of Tanzania.[SUP][9][/SUP] Karume's reason for doing so may have been to prevent the radicals in the Umma Party from taking over the country or to reduce the possibility of increasing communist influence in East Africa.[SUP][9][/SUP][SUP][10][/SUP] Despite this, many of the Umma Party's socialist policies on health, education and social welfare were adopted by the government.[SUP][11][/SUP]
[h=3][edit] Speculations concerning his death[/h] Okello then stayed in Kenya, in Congo-Kinshasa and in Uganda. He was incarcerated multiple times and was last seen with the Ugandan president Idi Amin in 1971 and vanished afterwards. In the book "Revolution on Zanzibar", written by Don Petterson, it is more or less assumed that Idi Amin saw him as a threat (after Amin promoted himself Okello reportedly joked that "now Uganda has two field marshals"[SUP][citation needed][/SUP]) and had arranged his assassination. This remains speculative, however.
[h=2][edit] Cultural references to Okello[/h] The black slave played by Edward Roland in Werner Herzog's 1972 film Aguirre, the Wrath of God is named "Okello". In his commentary to the DVD version of the film, Herzog also says that the character of Aguirre himself was partly modelled on John Okello, with whom the director had been in contact (Okello had wanted Herzog to translate a book he had written). Herzog explains: "I chose the name Okello because I owe his craze, his hysteria, his atrocious fantasies quite a bit for this film".[SUP][12][/SUP]
 
Watu wange[enda lupindisha historia kulingana na matakwa yao ya kisiasa, hasa kwa leo, muda mrefu baada ya mapinduzi ya Z'bar mwaka 1964.
Cha msingi ni kutazama standing facts na conclusions mtu atazijaza mwenyewe.
Tuelewe kimsingi kuwa WALIOPINDUA Zanzibar ni makundi ya waafrika walioungana, kuna waliotoka bara, Kenya na toka Uganda kama vile Okello.
WALIOPINDULIWA ni kundi la watawala, wakati huo chini ya vyama na uongozi wa serikali ya waarabu.
Makundi haya hasimu yamekuwa na tofauti za kimsingi na kubwa sana , na moja kati ya tofauti hizo ni UBAGUZI.Hili halisemwi na wengi sana.
Uzanzibai na Uzanzibara ulitumika kumg'oa Okello Zanzibar.Kama alivyodokeza Mwalimu suala hili la Uzanzibari na Uzanzibara ni matokeo ya ubaguzi uliokithiri katika jamii hii.Na dhambi hii imekuwepo kwa karne na karne waanzilishi wake wakiwa watawala waarabu.

Ubaguzi haukumalizika na mapinduzi ya 1964 bali yaliingia chinichini.
Nakumbuka mnamo miaka ya 1980's kule Pemba Kawawa alipotembelea kisiwa hicho kulikuwepo na maalamiko kwamba kwa nini serikali imezuia watwana toka bara kwenda kulima Pemba.
Kawawa alishangaa sana na kuwauliza kuwa bila watwana basi nyie hamli chakula?
Hivi ni moja ya vielelezo vya kwa nini watu waliokulia na kuishi katika ubaguzi wa aina fulani wanavyoweza kujisahau asili yao.

Mwaka 1964 mimi nilikuwepo Dar nikiishi Temeke karibu na Mgulani-sehemu iliyokuwa kambi kubwa ya jeshi kuanzia vita kuu ya pili.
Mwaka huo ulikuwa wa misukosuko mingi sana kwa serikali changa ya Tanganyika ,Zanzibar na hata Kenya na Uganda.

Baada ya Mapinduzi Zenj, vugu vugu la vurugu lilihamia Dar, na mimi nilisikia hata milio ya risasi katika majaribio ya maasi.
Kenya nako misuko suko ya kijeshi ilikuwepo na hivyo Afrika Mashariki hakukuwa kwema sana , ikia pamoja na Uganda.

Katika mazingira haya mtu kama Okello , mtu ambaye ana asili ya bara, isingekuwa rahisi kubaki Zanzibar,Tanganyika au hata Kenya.
Leo angeitwa terrorist!
Hii ni pamoja na ukweli kuwa kuna wabara wengi walioshiriki vile vile mapinduzi hayo ya mwaka 1964.Namfahamu Jenerali mmoja mstaafu mwenye simulizi nyingi sana za matukio ya wakati huo, na ni jinsi ipi wabara walishiriki, nayeye akiwemo.

Kijana naona umepotoshwa na vitabu mapinduz za zanzibar ni mapinduz ambayo nyiny watanganyika (jina ambalo hamlitai) kwa kutumia na nguv ya wazungu wakristo mumeamua kuupindua utawala halali wa mohamed shamte ambae ndie aliekua anaiwakilisha zanzibar kule un. Baada ya machogo nyinyi kushirikiana na wakristo mukaamua kuondoa utawala huo eti kisa waislam lengo lenu kutuua waislam na mumefanikiwa bt na yeye alizania ataish milele hahahaha mungu si mzee mkumba yupo huko mungu wenu butiama laanatu llah, lakini inshaallah kwa uwezo wake jalali kila alieshiriki na yey amuondoshe kwenye mgongo huu wa ardhi kwa aibu xana amin rabila lamina.
Na kututawala mwisho 2015. Wazanzibar tunajianda kupokea uhuru we2 uliopotea 64 january 12. Iyo katiba yenu kwetu jibu hapana muungano. Na uyo kawawa aloambiwa cc tunawategemea nyiny kula nani? Mungu ndo mpaji wa kila k2. Mauritias wanategemea miwa tu na matajir juu yenu tanganyika na idad yao ni kubwa ukilinganisha ye2.
Mungu waadhiri hapahapa dunian wale wote wenye nia mbaya visiwa vyetu na uulinde uislam kwa njia yoyote ile ami. Mungu ibariki JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR NA WATU WAKE AMIIN
 
38 Reactions
Reply
Back
Top Bottom