Jaribu kutembelea bandiko la "Nafadhali wana JF.
.... ningeomba ile picha ya kwanza ya Baraza la Mapinduzi ambayo mkuu huyu alikaa katikati huku akiwa amezungukwa na wanamapinduzi wengine.
Mkuu unatazama mpaka spelling...hujatulia.Haya basi "TAFADHALI"Jaribu kutembelea bandiko la "
Tukumbuke Zamani: Historia Ya Taifa Letu Katika Picha" utakuta picha hiyo, aidha utona na zingine nyingi........
That is what they say.But since tumelichokoza hili info zitakuja tu.Tulia mkuu.
Nimelichokoza hili makusudi ili tupate kujua ni kwa jinsi gani,tutamkumbuka huyu Comrade?Speculations concerning his death
Okello then stayed in Kenya, in Congo-Kinshasa and in Uganda. He was incarcerated multiple times and was last seen with the Ugandan president Idi Amin in 1971 and vanished afterwards. In the book "Revolution on Zanzibar", written by Don Petterson, it is more or less assumed that Idi Amin saw him as a threat (after Amin promoted himself Okello reportedly joked that "now Uganda has two field marshals"[citation needed]) and had arranged his assassination. This remains speculative, however.
Niliwahi kusoma kitabu chake Field Marshal John Okello, ilikuwa inasikitsha sana. Ni muda na sikumbuki jina la kitabu, lakini alikuwa anajiuliza amefanya nini kwa mungu mpaka astahili adhabu ya kutimuliwa kama jambazi.
Huyo msomi ambaye hakujua Babu ni nani, inabidi aanze kusoma upya historia ya nchi yetu.
Ukisoma vitabu vya Babu utaelewa histora ya Afrika vizuri. Nakumbuka maandishi ya Babu ya the three Seke Toures, nilipenda kweli kweli hayo maandishi.
Hilo la kutimuliwa nimeshacome across nalo na alisikitika sana that is according to literature.Niliwahi kusoma kitabu chake Field Marshal John Okello, ilikuwa inasikitsha sana. Ni muda na sikumbuki jina la kitabu, lakini alikuwa anajiuliza amefanya nini kwa mungu mpaka astahili adhabu ya kutimuliwa kama jambazi.
Huyo msomi ambaye hakujua Babu ni nani, inabidi aanze kusoma upya historia ya nchi yetu.
Ukisoma vitabu vya Babu utaelewa histora ya Afrika vizuri. Nakumbuka maandishi ya Babu ya the three Seke Toures, nilipenda kweli kweli hayo maandishi.
Comrade Mtanzania,
wasomi wetu wa sasa hawajifunzi yale yaliyo nje ya kile wanachofundishwa darasani.
Lengo ni kuchana paper,kwa kupata first class or upper second.
Mambo mengine haya ni kupoteza muda.
Sauti:Mahojiano na Dr.Harithsasa nani anayo historia inayotambulika duniani inayosema tofauti na hii .aweke hapa....
alsaidy,
Samahani sana lakini Ghassany kachakachua historia. Huwezi kuandika historia based on heresay.