Mapinduzi ya Kilimo Tanzania yatafanikiwa kama Mapinduzi ya Kilimo huko Ulaya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapinduzi ya Kilimo Tanzania yatafanikiwa kama Mapinduzi ya Kilimo huko Ulaya?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mmaroroi, Jun 30, 2009.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Katika Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2009/2010 kuna kauli mbiu ya KILIMO KWANZA ingawa haijapewa umuhimu wa kwanza kwa kutengewa fedha nyingi.Hata hivyo mafanikio yake yatafikiwa kwa kupokelewa vyema na wadau wa kilimo.Lakini katika Mapinduzi ya kilimo huko Ulaya walifanikiwa kwa kuwa watengenezaji wa zana za kilimo ni wao wenyewe katika Viwanda vyao.Je sisi Tanzania tutatengeneza zana za kilimo wenyewe?Halafu tuna maji ya kutosha kwa umwagiliaji?Tuna mbolea ya kutosha na isiyo na madhara katika Ardhi?Je wadau wa Kilimo watawezeshwa kupata zana husika za kilimo?Nawasilisha.
   
Loading...