Mapinduzi nchi za kiarabu ni matokea ya siasa za kibabe za Bush era dhidi ya uislam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapinduzi nchi za kiarabu ni matokea ya siasa za kibabe za Bush era dhidi ya uislam

Discussion in 'International Forum' started by Macos, Feb 20, 2011.

 1. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,004
  Trophy Points: 280
  Mapinduzi yanayoendelea katika nchi za kwa kiasi kikubwa yamechangiwa na kutokuwepo uhuru wa kisiasa katika karibu nchi zote , ukosefu wa ajira, hali ngumu za maisha na pia wafalme na familia zao wamehodhi nafasi zote za kisiasa...huwezi kupata nafasi yoyote sharti uwe royal family...
  Nyingi ya nchi hizi zimekuwa zikipata sapoti ya marekani na nchi za ulaya...na ndio marafiki wao wakubwa. Na wapo tayari kuwasaidia kwa njia yoyote alimradi maslahi yao yanapatikana.
  Nchi hizi wamewatupa ndugu zao wapalestina na kubakia kupigana peke yao.....sababu anayewalinda marekani anawambia hakuna kuwapa support palestine...utakumbuka mubarak alivo funga mpaka wa raffaa kule gaza hata kwa ajili ya misaada ya kibinaadamu....
  Misri, morocco,tunisia na yemen zimetumika kwa ajili ya siasa chafu za bush dhidi ya waislamu....kuna kambi za mateso katika nchi hizi...kambi zilizokuwa zikiendeshwa na us army.

  Wimbi hili la mapinduzi la waarabu limewaacha wamerekani na ulaya katika hali mbaya kimkakati ...jinsi gani democrasy inayotarajiwa itaathiri interest zao za kuzitawala nchi hizi...
  Siasa za bush ziliwaogepesha sana hawa ma dictators wa kiarabu hasa pale aliposema ama uwe na mimi ama na magaidi....basi wakawaacha raia wao kuteswa ovyo kwa madai ya kijinga..lakini mungu ni mkubwa......the power waliyonayo raia hawa haijawahi kutokea katika historia ya karibuni ya binaadamu....peoples power ilitokea lakini ni kwa nchi moja moja...lakini sio kwa block of coutries na zote za kiislam...haya ni mapinduzi ya kiislamu sio ya kiaarabu........imeaanza tunisia, misri,bahrain inafata, libya bengazi tyari jeshi limemuacha gaddafi,algeria japo polisi wapo 1 by 3 kwa raia lakini haita survive,yemen wiki moja haifiki,djibouti itafata,morooco pia,jordan,iran,hata iraq itakuja kwani japo kuna uchaguzu lakini ni uchakachuaji tu..ni serikali ya ki-puppet.
  Siyria nayo inaweza kwenda kwani hakuna uhuru ila inaweza kucheelwa kwani inasemekana wanajeshi wote ni 'wakurya'
  nchi nyengine ambazo zinaweza kukumbwa ni pamoja na saudi arabia,united arab emirates-uae na hata qatar kama wataendelea kugawa vyeo kwa ndugu zao tu...

  Kwa waafrika iwe ni funzo kwa viongozi wetu...lakini wimbi hili linaendelea....vijana wanataka haki sawa kwa wote....
  China inasemekana wameanza.....nawaombea korea ya kaskazini wawe majasiri uhakika wao ilikuwa wawe wa mwanzo ...lakini maskini wamekuwa brainwashed vibaya sana.
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Wananchi Wamechoshwa na Utawala wa kimabavu, hakuna hata Nchi moja ya kiarabu yenye Demokrasia ya kweli ni uongo mtupu na Ukandimizaji wa hao Viongozi Madikteta. Kila kitu kina wakati wake utaweza kumfanya mtu mmoja kuwa mjinga lakini hutaweza kuwafanya Watu wote wawe wajinga. Wananchi wa Nchi za Kiarabu wamechoka na wapo teyari hata kufa ili haki zao zipatikane nawapa hongera Waarabu kwa msimamo ili haki na matakwa yao yanatimizwa ipasavyo na Mwenyeezi Mungu awasaidie wapate kufanikiwa ameen.
   
 3. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 4,022
  Trophy Points: 280

  We uende ukalale! si kila kitu kinapimwa kidini Vijana wa huko wamekuwa wakiambiwa kupitia kelele za ati Uislam unashambuliwa sijui uko hatarini at the end of the day wakang'amua kelele hizo za Uislam hazileti chakula mezani ila kulinda himaya ya masultan wanaojitajirisha usiku na mchana! BTW Waarabu wanatumia Western facilities like Youtube, Google, twitter na Facebook ku-organize demonstration sasa kama urafiki wao (the West) na the Royal families in the Middle East ni bora zaidi basi wasingeruhusu demokrasia isambazwe kupitia media zao! Mwambie sheikh wako aingie Darasani kidogo kukufunza alama za nyakati nina uhakika hata Alqueda itakufa kama kutakuwa na democratic middle east na the whole concept ya ati Uislam unaonewa! haswa utawala wa Saudia Arabia utakapong'olewa pia!


  Soma articles zenye akili hapa
  Western pundits proved wrong on democracy in Arab world Sunday, 20 February 2011 22:20 digg

  [​IMG]An anti-government protester throws stones at a police station in central Sana'a.PHOTO | AFP

  They wouldn't do it for al-Qaeda, but they finally did it for themselves. The young Egyptian protesters who overthrew the Mubarak regime on Saturday have accomplished what two generations of violent Islamist revolutionaries could not. And they did not just do it nonviolently; they succeeded because they were nonviolent.

  They also succeeded because they had reasonable goals that could attract mass support: democracy, economic growth, social justice. This was in marked contrast to the goals of the Islamist radicals, which were so unrealistic that they never managed to get the support of the Arab masses.

  Even to talk about "the masses" sounds anachronistic these days, but when we are talking about revolution it is still a relevant category. Revolutions, whether Islamist or democratic, win if they can gain mass support, and fail if they cannot. The Islamists have got a great deal of attention in the past two decades, and especially since 9/11, but as revolutionaries they are spectacular failures.

  The problem was their analysis of what was wrong in the Arab world. Like most extremist versions of religion, Islamism is a form of obsessive-compulsive disorder. Its diagnosis essentially says that the poverty, oppression and humiliation that Arabs experience are due to the fact that they are not obeying God's rules, especially about dress and behaviour, and so God has turned His face from them.

  The cure for all these ills, therefore, is precise and universal observance of all God's rules and injunctions, as interpreted in their peculiarly narrow and intolerant version of Islam. Men must grow their beards, for example, but they must not trim them. If only they get these and a thousand other details right, the Arabs will be rich, respected and victorious, for then God will be willing to help them.

  The Islamists never talked about the Arabs, of course. They spoke only of "the Muslims," for their ideology rejected all distinctions of history, language and nationality: the ultimate objective was a unified "Caliphate" that erased all borders between Muslim countries. In practice, however, most of them were Arabs, although Arabs are only a quarter of the world's Muslims.

  Osama bin Laden is a Saudi Arabian. His deputy, Dr Ayman al-Zawahiri, is an Egyptian. The great majority of the founders of al-Qaeda were Arabs. That makes sense, for it is the Arab world that has seen the greatest fall from former prosperity, lives under the worst dictatorships, and has suffered the greatest humiliations at the hands of the West and Israel.

  From Turkey to Indonesia, most non-Arab Muslim countries enjoy reasonable economic growth, and some are full-blooded democracies. Their governments work on behalf of their own countries, not for Western interests, and they do not have to contend with an Israeli problem. If there was ever going to be mass support for the Islamist revolution, it was going to be in the Arab world.

  Revolutionary movements often resort to terrorism: it's a cheap way of drawing attention to your ideas, and it may even lead to an uprising if the target regime responds by becoming even more oppressive. The first generation of Islamists thought they would trigger an uprising in Saudi Arabia when they seized control of the Grand Mosque in Mecca in 1979, and in Egypt when they assassinated President Anwar Sadat in 1981.

  There were no mass uprisings in support of the Islamists either then or later, however, and the reason is that Arabs aren't fools. Many of them intensely disliked the regimes they lived under, but it took only one look at the Islamist fanatics, with their straggly beards and counter-rotating eyeballs, to know that they would not be an improvement.

  A second generation of Islamists, spearheaded by al-Qaeda, pushed the strategy of making things worse to its logical conclusion. If driving Arab regimes into greater repression could not trigger pro-Islamist revolutions, maybe the masses could be radicalized by tricking the Americans into invading Muslim countries. That was the strategy behind the 9/11 attacks but still the masses would not come out in the streets.

  When they finally did come out in the past couple of months, first in Tunisia, then in Egypt, and already in other Arab countries as well, it was not in support of the Islamist project at all. What the protesters were demanding was democracy and an end to corruption. Some of them may want a bigger presence for Islam in public life, and others may not, but very few of them want revolutionary Islamism.

  It is a testimony to the good sense of the Arabs, and a rebuke to the ignorant rabble of Western pundits and "analysts" who insisted that Arabs could not do democracy at all, or could only be given it at the point of Western guns.

  It is equally a rebuke to bin Laden and his Islamist companions, hidden in their various caves.
  They were never going to sweep to power across the Arab world, let alone the broader Muslim world, and only the most impressionable and excitable observers ever thought they would.

  Dr Dyer is a London-based independent journalist whose articles are published in 45 countries.

  Add this page to your favorite Social Bookmarking websites
  http://www.thecitizen.co.tz/editorial-analysis/-/8428-western-pundits-proved-wrong-on-democracy-in-arab-world
   
 4. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #4
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160

  Kaka samahani kidogo uislamu waislamu na masheikh wetu wameingiaje tena hapa? ni kweli masheikh wetu hawajasoma? ila ma[adri wenu peke yao wamesoma? Asante sana kwa matusi yako ya rejareja ila muungwa harudishi neno baya kwa neno baya nakuomba uchukue muda usome masheikh wetu wakubwa watu kama Ali Muhsin al-Barwani - Wikipedia, the free encyclopedia na Shaykh 'Abdullaah Swaalih Al-Farsy - Wikipedia, kamusi elezo huru ndio uje tena jamvini utoe maneno yako ya kashfa.
   
 5. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 4,022
  Trophy Points: 280
  nawajua wote huitaji kuniambia ila sifurahishwi na watu wanaotafsiri mambo kwenye dimensions za kuonewa kila wakati haswa mrengo wa udini! na fikra hizi kwa kiasi kikubwa zinatokana na mafundisho ya wahusika haswa Madrassani na Misikitini (mimi imam wangu huwa haishi kuhubiri hili mpaka nimehama msikiti)! BTW naomba uniambie nimekutukana vp? hebu niambie masheikh wangapi Tanzania na si nchi nyingine wana angalau diploma kuona unatukanwa!
   
 6. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,004
  Trophy Points: 280
  Tatizo hutaki kukubali kwamba haya ni mapinduzi ya kislamu na sio ya waarabu.......yanatokea katika nchi za kiislamu....na hawa wafalme ni vikaragosi wa west hasa marekani...huu ndio ukweli...hakuna mambo ya masheikh au facebook au twitter ...unaweza kutumia silaha ya adui kumwangamiza mwenyewe.....na ndio walivofanya hawa.....usidhani hawa wanafurahiya uhusiano wa wafalme na marekani....kama hujui uislam ni kama upepo haukamatiki....bush alisema its crusade now uislam una nguvu zaidi kuliko kabla ya maneno ya bush.....crusades zilianza zamani dhidi ya uislam na bado uislam upo
   
 7. M

  Marytina JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  tujuavyo misri ndiye alikuwa rafiki wa marekani ila Libya,tunisia,iran sio.Tazama namna Libya na iran walivyoamua kuuwa mamia kwa kutumia jeshi kuzima mabadiliko,kama the issue is patnership btn Empires+USA we would not saw Iran+Libya demonstrations
  I think the fact is Wafalme wa uarabu wamekuwa wakitumia dini kuwakamdamiza raia wao jambo ambalo raia wameliona kuwa ni upuuzi, kila wakidai mabadiliko wanaambiwa wametumwa na WEST na kwa nia mbaya dhidi ya uislam
   
 8. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Heshima kwako Marytina,

  Hili nalo neno.
   
 9. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Kwa maoni yangu haya mapinduzi ya nchi za kiarabu bado hayajafanikiwa. Nasema hivyo kwa sababu hayafika kwenye logical conclusion ambayo ni ku-dismantle mifumo iliyokuwa inawakandamiza. Wamefanikiwa kuondoa figure heads na siyo mifumo yenyewe. Misri wamemuondoa Mubarak lakini jeshi lake ndilo linasimamia hayo mageuzi. Mubarak alikuwa Jenerali wa jeshi na sasa kawaachia majenerali wenzake ambao walikuwa wanaufaidi mfumo chini yake. Watafanya cosmetic changes siyo fundamental changes, kwa msaada wa Marekani na nchi zingine za magharibi. Hata Tuninisia mwelekeo unonekana kuwa ule ule. Bahrain, Yemen, Libya, are still works in progress. Nina uhakika Marekani na wenzake wanataka cosmetic changes kama inavyofanyika hapa kwetu na nchi nyingine za Kiafrika ili waendelee kutufaidi.
   
 10. bona

  bona JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  kuna watu wanasikitisha humu ndani, nadhan hata watanzania wengi tulidhan kua nchi za kiarabu ni matajiri sana tena hazina shida kabisa kumbe ukweli wake ni tofauti, ukweli ni kwamba watu wengi wa nchi hizo walikua wanadanganywa kua serikali zao zinalinda uislam dhidi ya dola na utamaduni wa kimagharibi kumbe ilikua ni technic ya kuwafanay wajifariji pamoja na umaskini wao ndio maana dini ikawa ndio silaha kuu ya watawala kujustify utawala wao ila baada ya kuona bla bla za kutetea dini hazileti mkate mezani wameshtuka na ndio kama hivyo sidhan kwenye maandamano yoyote kama umeona kuna mtu anasema mapinduzi ni dhidi ya mataifa ya magharibi au ni mapinduzi ya kiislam haya ni mapinduzi ya watu wenye njaa waliochoshwa na bla bla za uetetzi wa dini utalipwa mbinguni!
   
 11. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  umechambua vizuri lakini ulipoanza kuingiza uislam ukaharibu. Haya ni mapinduzi ya kidemokrasia na wala si uislam. wenzetu wana mwamko zaidi kutokana na ukandamizaji wanaofanyiwa pamoja na uonevu wa muda mrefu toka watawala wao ambao ni vibaraka walio madikteta
   
 12. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Inabidi urudi ukasome tena historia, nchi kama misri na tunisia kuna watu wa dini mbali mbali na hawa wote walishirikiana kwenye kuandamana na kushinikiza serikali zao. Kubali kuwa dunia imebadilika vijana waliozaliwa 80s na early 90s wana mwamko mkubwa kuliko wazazi wao, wanataka maisha kama ya vijana wenzao wa nchi zilizoendelea.
   
 13. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #13
  Feb 21, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Muanzisha mada amesema kweli.Haya mapinduzi mzunguko wake utaishia Amerika na United kingdom.Ni Mungu amehamaki na ukandamizaji wa madikteta.Ameanza kuwatia nguvu watu wa nchi za kiarabu kupunguza nguvu za wababe.Hatimaye itakuwa rahisi kuwaangusha wababe wenyewe.
   
 14. N

  Nonda JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Umesahau Saddam alikuwa rafiki kipenzi cha USA..halafu uliona vipi walimgeuka au vipi? USA wana ile "condom use theory".
  Sio ajabu, hata Wikileaks walivujisha makusudi ili nchi ziingie katika dhahama unayoiona. Pia nafikiri baada ya kuona hiyo video unaweza kuwa na msimamo mwengine kuhusu hiyo red.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. s

  seniorita JF-Expert Member

  #15
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  You are very right; watu kuweni na busara, na sio kila kitu udini/uislamu nk...jamani hizi nchi zinalilia demokrasia to a great extent...
   
 16. N

  Nonda JF-Expert Member

  #16
  Feb 21, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Sikiliza hii na hapo dakika ya 7:22 anasemaje?
  Jee huyu ni mchambuzi mzuri lakini alijisahau? Unganisha hiyo ya mwanzo na hii

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. S

  Societa Jesuit JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa hamna watu....nchi hii inabomolewa na watu wanaokosa mshikamano na hakuna mtu atakaenishawishi kama kweli hii jamiiF ina watu wote ambao wanajua maana ya ''thinking great'' na kuzaa ''great thinkers''...nasema hivi kwasababu kama lengo la jamiiF ilikuwa ni kuelimisha jamii yetu hii basi ingekuwa na ''ideas self filtering'' maana inaonyesha kuna watu ama hawajui kutoka tulipoanza kuchangia mawazo ya haya mabadiliko au wanafanya kusudi kuonyesha ujinga.


  Kwa kifupi tu ''all great thinkers'' hawakuwa na ukomo wa kuwaza kama ambavyo wengi tunavyofanya katika jamiiF na sisi tunatakiwa kujua ''you cannot reason on faith'' na hii ni kwasababu imani haina ushahidi wa uwepo wake kama ambavyo hatujawahi kumwona allah{s b t} wala Mungu {God} ....Hivyo ama tuwe tunarejea vile vyanzo mbalimbali vya chanzo cha mada zilizopita kuliko kuchanganya viitikio tofauti katika wimbo mmoja.

  Ombi binafsi....nadhani kwa watu ambao wanachangia mada ama kwa kutokuelewa au kwa kusudi wawe wanauliza kwanza kitu wasichojua kabla ya kuweka wazo kuu la mada kama ''mkuu'' alivyotuchanganyia habari na mbaya zaidi hakumbuki kwamba hapo mwanzo alikuwa akichangia tofauti na mtazamo wake wa sasa.

  MWENYE UWEZO MKUBWA WA KUFIKIRI HAWEZI KUSAHAU MAWAZO YAKE MWENYEWE.
   
 18. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #18
  Feb 22, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,004
  Trophy Points: 280
  wewe soma tu propaganda za kudanganywa....kwani nani kakwambia anataka kuongozwa na osama? Ukweli hawa wazungu wako hawajui imekuaje? Lakini ukweli wao ndio chanzo...walikula na ma dictator wa kiarabu....na waliwatumia kukamata masheikh na waislam kuwatesa....'its islamic awakining' wewe endelea kusoma porojo za wazungu
   
 19. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #19
  Feb 22, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,004
  Trophy Points: 280

  naijua historia ya nchi hizi....wasiokua waislam katika nchi hizi ni minority na waislam kamwe hawajawahi kuwabagua ..wamelindwa ndani ya uislam..hata mayahudi walipokua wanauliwa na wazungu basi walipokewa na waislam...hakuna myahudi aliyeuliwa katika nchi za kiislamu.....
  Sasa wakishirikiana wanajua uislam utawalinda kuliko hawa ma puppets wa kimarekani...kubali tu this is islamic awakining
   
 20. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #20
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 4,022
  Trophy Points: 280
  Duh inaelekea unaota wewe! hivi kwanini Mecca na Madinna hamna makanisa? na kwanini juzi hapa Egypt wakristu wa Coptic church walishambuliwa (EU denounces attacks against Christians, Muslims | News by Country | Reuters) na pia Indonesia? hapa Tanzania tu hapo Zanzibar makanisa yanachomwa moto! uache kuishi in illusion! tukiachia mbali mashambulizi kwa wale wote waliobadili dini kuingia Ukristo tukianzia Afghanistan! na swala la Uyaudi lipo complex kwa hiyo jaribu kusoma chimbuko lake usiambiwe tu huko unapoambiwa unaleta hapa! btw walinunua hiyo ardhi toka kwa Wapalestina na kuna Wakristo wengi tu ndani ya taifa la Wapalestina!
   
Loading...