DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 544
Hawa wanabinafsisha kila kitu ,hata upinzani ukipata madaraka basi wao hawana hasara tena ,bila ya shaka watakuwa wamishajijenga na hungoja kupokea faida ya hisa tu inapogawanywa ,wakati wapinzani wakianza kutafuta pa kuchuna wao watakuwa wanatia mguu ,haingii mtu.Nakumbuka niliwahi kusikia mwito eti walala hoi wajiunge katika masoko ya hisa yanafaida kweeli ,kumbe ile ni gelesha tu ,wao wamishazinunua zote.
..wana wasiwasi gani? wakikuta bakuli tupu si wanataifisha tu,zinakuwa mali ya umma,wanapeana madaraka,wakula kwa mrija!