Mapinduzi Baridi!

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
9,217
6,349
Ninayasema yafuatayo kwa masikitiko kutokana na jinsi nionavyo JF inavyovamiwa na wahuni kwa kuifanyia mapinduzi baridi kwa kupotosha umma through posts za uongo herein. Leo hii (Jumamosi, 28/4/2012) nimeshuhudia live nilipokutana na washikaji pale Mlimani City kupata moja moto moja baridi. Mshikaji wa rafiki yangu alikuja na mwenzake ambaye ni msanii wa bongo movie. Tuliongelea mengi tu kutoka siasa ya Bongo, fleva, bongo movie mpaka tukaja kwa JF. Yule msanii akadiriki kusema kuwa yeye pamoja na wenzake wengi tu kazi yao ni kuchafua JF na blogs zinazokandia mambo ya Bongo. Wao ni kundi kubwa tu la wasanii wamedhamilia kuifanyia mapinduzi JF. Kwako administrator; hivi hauna njia ya ku moderate post za wana mapinduzi kama hawa? Kwa kweli JF itapoteza mwelekeo kama hali yenyewe ndiyo hii. To some extent naweza kukubali kuwa kundi kama hili lina exist kwa sababu wabongo ni wabishi na hawapendi kuambiwa ukweli. Na kazi ya hawa jamaa ni kuvuruga habari za ukweli bcs wanataka wawe supported for whatever they are doing!
 
we know them through their posts
hawana jipya,great thinkers knows which posts are rubbish
 
Ipoteze mwelekeo mara ngapi?

Wewe weka nyuzi ya kuongelea mapungufu ya Mbowe uone kama itabaki.

Hapa wewe Kikwete tu ndio tambara bovu.
 
Tatizo lao ni kwamba wanajaribu kuvuruga kwa kutumia bogus posts, hawaleti michango yoyote ya maana, kwa hiyo uwezo wao wa kushawishi watu unakuwa ni mdogo sana. Huwezi kuongoza mapinduzi yoyote, hasa kwenye jamii ya great thinkers kama JF, bila kuwa na uwezo wa kujenga hoja na kushawishi. Watashindwa na batalegea benyewe tu.
 
Back
Top Bottom