Mapigo ya moyo kuongezeka, kujisikia vibaya na kuishiwa nguvu ninapotembea kwenye mwinuko.

Oct 18, 2017
15
9
Wakuu naomba madaktari mnisaidie kuhusu tatizo langu hili ambalo kimeanza kunisumbua hivi punde. Nashindwa kuelewa naweza kuwa na tatizo gani.
 
Mkuu nenda hospital kajaribu kuchek ukubwa wa moyo...hilo tatizo mama yangu alikuwa nalo Na dalili ulizozitaja Ni hzohzo.Wahi hospitali ili uanze tiba mapema Hzo Ni dalili za moyo kuwa mkubwa japo ukiwahi matibabu unapona kabisa.
 
Nashukuru mkuu, ntafanya hivyo
 
Wakuu naomba madaktari mnisaidie kuhusu tatizo langu hili ambalo kimeanza kunisumbua hivi punde. Nashindwa kuelewa naweza kuwa na tatizo gani.
Unapata shida kupumua ukilala chali? unaishiwa hewa usiku? Hizo ni dalili za moyo kufeli, Nenda hospitali kubwa fanya
-chest x ray : waangalie kama kuna dalili za moyo kuongezeka ukubwa au mapafu kujaa maji
- Electrocardiogram : waone kama kuna dalili zozote za misuli ya moyo kupungukiwa na supply ya damu
- Echocardiogram : waangalia kama kuna mabadiliko yoyote kwenye maumbo ya chemba za moyo

Uchumi ukiruhusu fanya pia
- Renal function test : kuona kama figo zinafanya kazi vizuri
-liver function test :kuona kama ini lipo vizuri
-full blood picture :kuona kama kuna dalili za upungufu wa damu ama infection zozote kwa kuangalia idadi ya seli nyeupe za damu.
 
Fanya vipimo vifuatavyo: Full Blood Picture (CBC), Urinalysis, Kidney Function Test, Lipid Profile, Chest Xray, ECG, ECHO, TMT, Liver Function Test, Abdominal and Pelvic Ultrasound, SerumSodium, Potassium and Vitamin D. Titafute baada ya kupata majibu.
 
Boss naomba shule kidogo hapa... Why abdominal and pelvic uss , umeniacha kidogo hapo
 
Unapata shida kupumua ukilala chali? unaishiwa hewa usiku? Hizo ni dalili za moyo kufeli, Nenda hospitali kubwa fanya
-chest x ray : waangalie kama kuna dalili za moyo kuongezeka ukubwa au mapafu kujaa maji
- Electrocardiogram : waone kama kuna dalili zozote za misuli ya moyo kupungukiwa na supply ya damu
- Echocardiogram : waangalia kama kuna mabadiliko yoyote kwenye maumbo ya chemba za moyo

Uchumi ukiruhusu fanya pia
- Renal function test : kuona kama figo zinafanya kazi vizuri
-liver function test :kuona kama ini lipo vizuri
-full blood picture :kuona kama kuna dalili za upungufu wa damu ama infection zozote kwa kuangalia idadi ya seli nyeupe za damu.
Mkuu hapo umemaliza ,lazima kieleweke
 
Wakuu naomba madaktari mnisaidie kuhusu tatizo langu hili ambalo kimeanza kunisumbua hivi punde. Nashindwa kuelewa naweza kuwa na tatizo gani.
Inawezekana una upungufu wa red blood cells hivyo kufanya zoezi la kusafirisha oxygen kwenye mwili wako kufanyika kwa taabu. Nenda hospitali ukapimwe Hb (Haemoglibin) Kwa mwanaume counts ya Hb huanzia 13.5 to 17.5 grams per deciliter
Na kwa mwanamke huanzia 12.0 to 15.5 grams per deciliter.
Ukikutwa una low haemoglobin count utatakiwa kutumia vidonge vya FEFOL kama vile wanavyopewa wanawake wajawazito au pia vidonge vya Vitamin B complex.
Unapokuwa na kiwango kidogo cha usafirishaji wa oxygen kwenye mwili wako, ubongo hukubwa na upungufu wa hewa safi hivyo kukufanya ujisikie kizunguzungu.
Pia unapotembea, misuli inahitaji oxygen kuweza ku oxidise glucose ili kuzalisha enargy. Upungufu wa oxygen kwenye misuli hufanya Pyruvic acid izalishwe kwa urahisi na kwa kiasi kikubwa kutokana na oxygen debt kuongezeka kwa urahisi.
Kukabiliana na hayo yote, mapigo ya moyo huongezeka ili kufanya damu izunguke mara nyingi ndaniya muda mfupi ili kuweza kusambaza oxygen mwilini kukabiliana na upungufu huo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom