Mapigo Saba


Kituko

Kituko

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2009
Messages
9,533
Likes
7,401
Points
280
Kituko

Kituko

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2009
9,533 7,401 280
Kwa wale waumini wanalijua hili,
kila unachowafanyia wenzio Mungu anakulipa hapahapa Duniani, na anakupiga kwa mapigo ya nguvu SABA, na utaratibu ni kuwa unapigwa pigo moja na kama haujasimama na kuomba radhi/kukiri makosa yako ili uliowafanyia wakusamehe, Pigo lingine linakujia ambalo ni la Nguvu kuliko la mwanzo, mpaka yakifika saba upo hoi
mpaka sasa waliopigwa na hayo mapigo japo hayajafika saba ni
1)Mramba
2)Liyumba
3) Lowasa
4)Chenge
5) Zombe
6) Balali
na wengine Wengi tu

Sasa wanaofuta kupokea hayo Mapigo
1) Makame
2) Kinana
3) Mkurugenzi Usalama
4) JK
5)..
6)...
 

Forum statistics

Threads 1,235,405
Members 474,534
Posts 29,221,102