Mapigano ya waislam msikiti wa Taqwa

Status
Not open for further replies.

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
kumezuka mapigano makali kwenye msikiti wa Taqwa hapa Bagamoyo waislam wanachapana bakora muda huu sababu haijajulikana..hali ni tete sana
 
kumezuka mapigano makali kwenye msikiti wa Taqwa hapa Bagamoyo waislam wanachapana bakora muda huu sababu haijajulikana..hali ni tete sana

Waache wapigane kwani ni sehemu ya ibada yao ya kumtumikia mola wao...
 
Waislam hawataki upuuzi wa kiongozi,ukileta ujinga unachapwa bakora,siyo wale wasioweza kuhoji unabii na utume wa uongo
 
  • Thanks
Reactions: Luv
ISLAMIC is a religion of PEACE.

Islam is a religion of peace... hiyo Islamic labda ni yako wewe

Sio kila aendae msikitini au kanisani ni muislam au mkristu... kumbuka hizi dini zina masharti yake na wengi wanavunja na bado kuendelea kuamini wao ni waumini swafi

Ukikua utafahamu kwamba kwenye msafara wa kenge, mamba wapo
 
  • Thanks
Reactions: Luv
kumezuka mapigano makali kwenye msikiti wa Taqwa hapa Bagamoyo waislam wanachapana bakora muda huu sababu haijajulikana..hali ni tete sana
Umeishakunywa gongo la padri basi unaropoka tu hivi nyie Chadema Waislam waliwakosea nini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom