Mapigano ya chama cha siasa ni hoja

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,722
2,000
Mapigano makubwa ya chama cha siasa, ni hoja lkn cha kushangaza kuna tabia imijitokeza sasa hivi nchini kwetu hapa tanzania,hii tabia ikiachwa kwa muda mrefu tutajenga utamadunimbaya sana, na dhaifu sana kwa jamii yetu hasa kisiasa, na kiongozi

Chama cha mapinduzi kupitia Mwenyekiti wake,wameanza tabia ya kujibu hoja za wapinzani wake kwa kurusha Ngumi,badala ya kujibu hoja zinazotolewa na wapinzania wao kisiasa,wapinzania wakiikosoa serekaki kwa kutumia haki yao ya kikatiba, na wakatimiza wajibu wao kama chama kikuu cha upinzani, wataitwa polis kwa mahojianano , badala ya ccm kusahihisha ukweli,au kujibu,kwa kutumia hoja, hii ndio ilikuwa nguzo kubwa ya chama cha tano,ndio msingi wa chama cha tano, lkn kwa sasa utamaduni huu wa siasa za hoja unaota mbawa kwa kasi ya kimbunga cha sunami

Wapinzania wakitoa hoja ccm wanajibu kwa kurusha Ngumi, vitisho vya dola na kadhalika,swali linakuja kwanini wasibadilishe katiba tubaki na chama kimoja cha siasa wakati wao cmm ndio wenye uwezo wa kutumia wingi wa wabunge wake kubadilisha katiba tukabaji na mfumo wa chama kimoja cha kisias? au ccm wanaogopa watanyimwa misaada,na waisani

Tujifunze na tujenge utamaduni wa mazoeya ya mijadala,yenye tija kwa taifa letu
 

jabulani

JF-Expert Member
Aug 1, 2015
4,322
2,000
Waliaswa na mwl. Nyerere watumie nguvu ya hoja badala ya hoja ya nguvu.

Hoja ya nguvu hujenga chuki na ipo siku watafanya makosa yatakayofanya chama chao kipotee kwenye uso wa dunia.
 

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,722
2,000
Ile mijadala ya udasa IPO wapi?chuo kikuu kimekuwa kwa sasa kimekuwa kama soko LA manzense,hakuna hata mijada?yupo wapi rozi mwakitange,mwana mama shupavu,na mwanaharakat?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom