Mapigano makali kati ya Zambia na Congo

Mapigano makali yametokea Mapakan kat ya Congo na Zambia,

Inasemakana Wanajesh wa Congo waliitwa waingie Zambia wakiwa na Combat zao baaday wao Kugoma kuwa hawana taarfa yyte ndipo askal kama wa4 wa zambia walipo enda na Speed Boat zzao walipo fika wakachana Bendera ya Congo.

Askal wa Congo walkuwa 3 wawil walipoona hvyo wakaondoka mmoja akaona hii zarau sasa akaingia ndan akatoka na chuma,
Akampiga mmoja Askal wa zambia mguun alvyoona wametahamak akampiga mwingne kifuan na wale wawl walvyoona mwenzao anapambana wakaja ikabd waongeze nguvu wakawazdia wanajesh wa zambia ikabd wakimbie wakaongeze nguvu.

Aise kilchokuja kutokea had helkopta zmehska kutoka zb maana kilnuka mbaya, nmemuona mdgo wa kabila amekuja majesh ya Congo yamejaa Murilo hapa

mpka sasa hakja fahamika chanzo hasa, tusbr update zaid

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukitupia chanzo itanoga zaidi, au chanzo ni wewe mwenyewe kwa sababu ni shahidi kuona.
 
Mapigano makali yametokea Mapakan kat ya Congo na Zambia,

Inasemakana Wanajesh wa Congo waliitwa waingie Zambia wakiwa na Combat zao baaday wao Kugoma kuwa hawana taarfa yyte ndipo askal kama wa4 wa zambia walipo enda na Speed Boat zzao walipo fika wakachana Bendera ya Congo.

Askal wa Congo walkuwa 3 wawil walipoona hvyo wakaondoka mmoja akaona hii zarau sasa akaingia ndan akatoka na chuma,
Akampiga mmoja Askal wa zambia mguun alvyoona wametahamak akampiga mwingne kifuan na wale wawl walvyoona mwenzao anapambana wakaja ikabd waongeze nguvu wakawazdia wanajesh wa zambia ikabd wakimbie wakaongeze nguvu.

Aise kilchokuja kutokea had helkopta zmehska kutoka zb maana kilnuka mbaya, nmemuona mdgo wa kabila amekuja majesh ya Congo yamejaa Murilo hapa

mpka sasa hakja fahamika chanzo hasa, tusbr update zaid

Sent using Jamii Forums mobile app
Season mpya baada ya warris kuisha
 
Sitasahau askar wa zambia walivyowahi kuniweka ndani siku tatu kisa nilikuwa nimebanwa haja ndogo,basi kumbe walikuwa wananifatilia nyuma,hadi kona mmoja ile nafungua zipu tu..hawa hapa jamaa...

Dah!
Walinionea sana harafu wanataka hela nying kwel!
Kwel hawa askar ni wa ajabu sana..
 
Kwa wale wanaotaka niandike vzuri muda ule waje wao ndi wareport sio kila muda unaweza Lemba muandiko kama hukuelewa nilcho andika unapita kushoto mbina simple tu

Update toka alpo kuja Mdgo wa Kabila mkuu wa majesh hal imekaa pwa na Raia wameanza kuld nyumban,
Update zaid morning maana mpaka sasa hatujajua kilcho ongelewa humo ndan

Huyo mdogo wa Kabila anaitwa nani maana walikua wawili tu na Dada yake enzi zile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapigano makali yametokea Mapakan kat ya Congo na Zambia,

Inasemakana Wanajesh wa Congo waliitwa waingie Zambia wakiwa na Combat zao baaday wao Kugoma kuwa hawana taarfa yyte ndipo askal kama wa4 wa zambia walipo enda na Speed Boat zzao walipo fika wakachana Bendera ya Congo.

Askal wa Congo walkuwa 3 wawil walipoona hvyo wakaondoka mmoja akaona hii zarau sasa akaingia ndan akatoka na chuma,
Akampiga mmoja Askal wa zambia mguun alvyoona wametahamak akampiga mwingne kifuan na wale wawl walvyoona mwenzao anapambana wakaja ikabd waongeze nguvu wakawazdia wanajesh wa zambia ikabd wakimbie wakaongeze nguvu.

Aise kilchokuja kutokea had helkopta zmehska kutoka zb maana kilnuka mbaya, nmemuona mdgo wa kabila amekuja majesh ya Congo yamejaa Murilo hapa

mpka sasa hakja fahamika chanzo hasa, tusbr update zaid

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia andika vizuri acha papara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa adisi yako nzur kasoro hatujui inatufundisha nini

Back
Top Bottom