Mapigano makali baina ya Syria na Turkey yatokea

Muda si mrefu, vikosi vya Erdogan vimeshambulia maeneo ya serikali ya Syria huko kaskazini mwa Syria. Mtifuano bado ni mkali sana.

Pia kuna taarifa zisizo rasmi zinadai kuwa Uturuki imefunga mfumo wa electronic warfare (KORAL electronic warfare system) katika maeneo huko kaskazini magharibi mwa Syria ili kukabiliana na kuipooza mifumo ya radar na ulinzi wa anga ya Syria na Urusi.

Habari hii ya electronics warfare Ni uzushi tu ingekuwa kweli tayari uturuki angeingiza ndege Syria,
Kuwasaidia wanajeshi wake wasidhidi kuzingirwa,
IMG_20200206_103202.jpg
 
Habari hii ya electronics warfare Ni uzushi tu ingekuwa kweli tayari uturuki angeingiza ndege Syria,
Kuwasaidia wanajeshi wake wasidhidi kuzingirwa,
View attachment 1348342
Uturuki katu hatakubali kuondoa hizo 'observation posts' huko Idlib maana akifanya hivyo itakuwa ndio mwisho wa uasi dhidi ya Assad.

Nadhani ataongeza msaada wa vifaa vya kisasa vya kivita (kutoka NATO) kwa waasi ili waweze kuweka upinzani mkali kwa jeshi la Assad kwa kuwazuia wasisonge mbele kirahisi (kuwachelewesha).

Huenda pia akamshawishi Urusi kwa kuzungumza na Putin na pia kuchagiza shinikizo kutoka nchi za Ulaya (EU) na Marekani kwa Urusi ili wazuie hujuma za Assad huko Idlib.
 
Uturuki katu hatakubali kuondoa hizo 'observation posts' huko Idlib maana akifanya hivyo itakuwa ndio mwisho wa uasi dhidi ya Assad.

Nadhani ataongeza msaada wa vifaa vya kisasa vya kivita (kutoka NATO) kwa waasi ili waweze kuweka upinzani mkali kwa jeshi la Assad kwa kuyazuia wasisonge mbele kirahisi (kuwachelewesha).

Huenda pia akamshawishi Urusi kwa kuzungumza na Putin na pia kuchagiza shinikizo kutoka nchi za Ulaya (EU) na Marekani kwa Urusi ili wazuie hujuma za Assad huko Idlib.
Hujuma za Idlib Haziepukiki Na Sidhanii Kama Kuna Wakumshauri MOSCOW Kuachana na Hizo Hujma Pale IDLIB Labda Jambo Lakufanya Ni Kusitisha Tu Hili Jambo Kwamuda Labda

Ila Suala La Kukombolewa IDLIB Nisuala La Lazima Kwa SYRIA Na Kwa RUSSIA Kwa Mustakabali Mzima Wa Uwepo Wa SERIKALI ya AL ASSAD Ikumbukwe IDLIB Ndio Ngome Yamwisho yA Waasi Wasiomtaka Al Assad Na Kama Itatokea Wakafanikiwa Kuikomboa IDLIB Maana Yake SYRIA Nzima Kwaujumla Wake Itakua Imekombolewa Vitabakia Tu Vile Vikundi Vyahapa Napale Ambavyo Nirahisi Tu Kuviondoa Tofauti Na Ilivyo Alawali

Nb:Tuupe Muda Nafasi Yake Ila Naiona IDLIB Ikiingia Katika Full Scale War Itakayo Endeshwa Na SYRIA Kwa Uangalizi(Ushiriakiano Wa RUSSIA)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika
Ni vyepesi saana Russia kuiachia crimea kuliko kumuacha Assad asumbuliwe na waasi

Russia angeiache Syria ichakazwe na uchumi wa Russia ungechakaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ikitokea Assad Kawezwa Basi Ujue RUSSIA Inaenda Kuteseka Sanaa Nandio Maana Wajamaa Wanampambania Sana Al Assad Kwamiaka Namiaka Sasa Jamaa Hawaipambanii Amani Ya SYRIA Wala Wasyria Wanaipambania Serikali Itakayokua Tiifu Kwa MOSCOW Maana Nikwamba Tayari Al Assad Kaisha Prove Kwamba Yeye Nimshirika Mtiifu Mnoo Nawakuaminika Wa MOSCOW Tofauti Na Atakae Kuja Nandio Maana Jamaa Wanampambania Sanaaa

Nahisi Ziara Ya PUTIN Nchini SYRIA Mwanzoni Mwamwaka Huu Ndio Matokeo Ya Haya Yanayojiri Sasa IDLIB

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Erdogan ameipa syria wiki tatu iondoe blockage ya turkish observation post la sivyo erdogan Atachukua Hatua. View attachment 1348391
Mwanzoni Huko Nilisema Nakwasasa Bado Nasema Erdohan Anauwezo Wakuingia Vitani Na DAMASCUS Ila Sidhanii Kama Vita Itakua Namanufaa Kwake Mpaka Sasa Si NATO WalaUS Mpaka Sasa Walotoa Tamko Nasidhanii Kama watakua Upande Wa Erdogan Wanaemwita Dikteta

Erdogan Anaenda Kuuharibu UCHUMI wa TURKEY na Anaenda Kuiharibu TURKEY

Tuupe Muda Nafasi Yake... Ila Sioni Mpya Toka Kwa Erdowan(Erdogan)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu hawajui kwann Russia yupo Syria na hawajui ni kipi kinachowaogopesha NATO na USA kuingia full scale war hapo Syria
HakikaIkitokea Assad Kawezwa Basi Ujue RUSSIA Inaenda Kuteseka Sanaa Nandio Maana Wajamaa Wanampambania Sana Al Assad Kwamiaka Namiaka Sasa Jamaa Hawaipambanii Amani Ya SYRIA Wala Wasyria Wanaipambania Serikali Itakayokua Tiifu Kwa MOSCOW Maana Nikwamba Tayari Al Assad Kaisha Prove Kwamba Yeye Nimshirika Mtiifu Mnoo Nawakuaminika Wa MOSCOW Tofauti Na Atakae Kuja Nandio Maana Jamaa Wanampambania Sanaaa

Nahisi Ziara Ya PUTIN Nchini SYRIA Mwanzoni Mwamwaka Huu Ndio Matokeo Ya Haya Yanayojiri Sasa IDLIB

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uturuki katu hatakubali kuondoa hizo 'observation posts' huko Idlib maana akifanya hivyo itakuwa ndio mwisho wa uasi dhidi ya Assad.

Nadhani ataongeza msaada wa vifaa vya kisasa vya kivita (kutoka NATO) kwa waasi ili waweze kuweka upinzani mkali kwa jeshi la Assad kwa kuwazuia wasisonge mbele kirahisi (kuwachelewesha).

Huenda pia akamshawishi Urusi kwa kuzungumza na Putin na pia kuchagiza shinikizo kutoka nchi za Ulaya (EU) na Marekani kwa Urusi ili wazuie hujuma za Assad huko Idlib.
Sasa hiyo misaada inapitia wapi wakati Syria wanekata connection?
Kwasasa hizo post Ni Kama wako hostage,uturuki wakizengua tu,Syria wanaanza na hizo post
 
Turkey leo wame deploy air defense systems pamoja na tanks mpakani na syria.
What does it mean!?

Some thing big is going to happen out there.
Sasa hiyo misaada inapitia wapi wakati Syria wanekata connection?
Kwasasa hizo post Ni Kama wako hostage,uturuki wakizengua tu,Syria wanaanza na hizo post
 
Mji wa sagreb umetekwa rasmi jioni hii wanachofanya saa hizi Ni combing through the town,ikumbukwe ndani ya mji huu,Turkey walideploy post nne,zote ziko under Syria army,
Waasi walijaribu counter attack kutokea nayrab mji jirani na sagreb lakini ikafail,
Next step Ni kuanza campaign ya kuchukua idlib,,pengine wanaweza kupause kidogo kwa mda wakifanya combing na fortfying ili kuepuka tatizo la overextension.
Hizi post za Turkey ambazo zimezungukwa Ni sawa na kambi ya jeshi,zingine ziko na vifaru zaidi ya 20,
Kwahiyo unapowazunguka na kutaka kumove on lazima kuachana ulinzi wa uhakika Kama hutaki kujikuta unapigwa kutokea nyuma
 
Turkey leo wame deploy air defense systems pamoja na tanks mpakani na syria.
What does it mean!?

Some thing big is going to happen out there.
IMG_20200206_111500.jpg

Turkey amedeploy hii short range airdefence katika mpaka wake na Syria,hii Ni short-range haina effect huku idlib kwani Ni mbali ,inaweza kuwa na effect maeneo ya mpakani Kama Afrin,tell rifaat,manbij,lakini ujue Russia kalifunga anga la idlib kwahiyo vikosi vya uturuki having aircover ndo maana hawafurukuti
 
Erdogan kawapa Onyo Urusi wasitie pua pale watakapoanza kulipa kisasi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mji wa Idlib hupo nchini Syria, je, Uturuki ina sababu zipi za msingi za kuendelea kukalia mjini ambao haupo kwenye himaya yake - majeshi ya Uturuki yasipo kuwa makini yatazingirwa na Majeshi ya Syria na kutandikwa kweli kweli.
 
Back
Top Bottom