Mapigano makali baina ya Syria na Turkey yatokea

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
7,010
2,000
Nakubwa zaidi assasination ya IRAN Haijaifanya IRAN Kuanguka wala Kuyumba Kisiasa Kijeshi wala Kiuchumi Ila Kumewafanya Kuwaonesha wamarekani navibaraka wao kwamba wairan niwamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Si umeuliza US alifanya nini na nimekujibu! Wewe muiran wa buza uelewi kitu ila wairan wa Tehran wanaeliwa kifo cha soleimani kilivyowatikisa kiasi cha kugharimu maisha ya wairan wengine zaidi ya 50 waombolezaji. Ila cha msingi nimekujibu swali lako kwamba urusi hakufanya kitu ila US aliua Mtu mashuhuli namba mbili Iran na ambaye pia alikuwa ndo master plan wa mission kibao dhidi ya US.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
7,010
2,000
Hivi huna habari kwamba architect wa mauuaji ya General Soleimani naye amekwisha tangulia mbele ya haki??

Ndege ya upelelezi inayo milikiwa na CIA ilitunguliwa huko Aghanistan,maafisa karibu wote wa CIA walio kuwa kwenye ndege hiyo wakaungua akiwemo Generali aliyepanga kuuwawa kwa General Soleimani, majeruhi mmoja alitwangwa risasi na Watalebani.

Hii inakupa picha gani kuhusu ushirikiano wa masuala ya Kintellijensia baina ya Urusi na Iran? Mfano: walifahamu vipi kwamba the brains behind mauuaji ya General Soleimani angepepanda ndege ya kipelelezi ya CIA ikitokea Bhangram airbase nchini Afghanistan na wakafanikiwa kuitungua - bottom line is: Iran na Russia si Mataifa ya kuya under rate hata kidogo linapokuja suala la kintellijensia - mifano tunayo.

UnaniQuote kuhusu hoja gani labda?! au unafikiri hapa tulingishiana!!
Mimi nimejibu swali nililoulizwa Marekani alifanya nini? Jibu aliua soleimani. Sasa mambo ya ushirikiano wa Iran na urusi yanatoka wapi hapa?! Kama kushirikiana hata Russia na US hushirikiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
16,824
2,000
Kwa taarifa yako, ndege ya kijeshi ya Urusi ilishambuliwa na F-16 jet fighter ambayo rubani wake alikuwa ni American not Turkish - in other words the brains behind shooting down of Russian bomber, were Americans.

Kitu kingine, Uturuki haina ubavu wa kuitishia Urusi, actually linapo kuja suala la Wakurdi atakuta America pamoja na Urusi wana support Wakurdi kuanzisha Taifa lao.
Kweli mahaba yamekuzidi mpaka unaongea uongo uliojaa pumba,yaani ndege ya Uturuki iendeshwe na Rubani was Kimarekani? Hii ni kali ya 2020,na sijui hii habari umeitoa wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
9,117
2,000
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
Kweli mahaba yamekuzidi mpaka unaongea uongo uliojaa pumba,yaani ndege ya Uturuki iendeshwe na Rubani was Kimarekani? Hii ni kali ya 2020,na sijui hii habari umeitoa wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Look, I am not an average Joe - if your warped analytical mind still thinks Turkey had a lot to gain by downing a Russian Bomber, I suggest you should have your head exaimed, the soonest the better.
 
Bwana Utam

JF-Expert Member
Feb 15, 2016
6,612
2,000
Si umeuliza US alifanya nini na nimekujibu! Wewe muiran wa buza uelewi kitu ila wairan wa Tehran wanaeliwa kifo cha soleimani kilivyowatikisa kiasi cha kugharimu maisha ya wairan wengine zaidi ya 50 waombolezaji. Ila cha msingi nimekujibu swali lako kwamba urusi hakufanya kitu ila US aliua Mtu mashuhuli namba mbili Iran na ambaye pia alikuwa ndo master plan wa mission kibao dhidi ya US.

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya Kuuliwa Soleiman IRAN Ilifanya nn ?!

Baada ya Kupigwa Kambi Zao US walifanya Nn Ukiachana na Kuufyata ?!

US =PAPER TIGER.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
May 27, 2016
4,504
2,000
Usiku wa kuamkia hii leo Uturuki imeripotiwa kuingiza takribani magari ya kijeshi 170 nchini Syria na mpaka kufikia hivi sasa inadaiwa kuwa zana hizo vikiwemo vifaru zaidi ya 100 zimekwisha fikia zaidi ya 400.

Magari ya kijeshi ya Uturuki yametapakaa mjini Idlib pamoja na vijiji vya karibu kwa ajili ya counter-offensive kwa majeshi ya Assad muda wowote.

Hii convoy ya Uturuki iliyoingia ni kubwa sana. Wizara ya ulinzi ya Uturuki inasema imejipanga kisawasawa na shambulizi lolote dhidi yao kutoka kwa majeshi ya Assad litajibiwa ipasavyo.

1581177254079.png

1581177906133.png
 
Proved

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,592
2,000
Usiku wa kuamkia hii leo Uturuki imeripotiwa kuingiza takribani magari ya kijeshi 170 nchini Syria na mpaka kufikia hivi sasa inadaiwa kuwa zana hizo vikiwemo vifaru zaidi ya 100 zimekwisha fikia zaidi ya 400.

Magari ya kijeshi ya Uturuki yametapakaa mjini Idlib pamoja na vijiji vya karibu kwa ajili ya counter-offensive kwa majeshi ya Assad muda wowote.

Hii convoy ya Uturuki iliyoingia ni kubwa sana. Wizara ya ulinzi ya Uturuki inasema imejipanga kisawasawa na shambulizi lolote dhidi yao kutoka kwa majeshi ya Assad litajibiwa ipasavyo.
Uturuki anajaribu kumzuia Assada asiiteke Idlib.
Uwezo wa kumzuia Assad anao (Kama akitaka).
 
STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
6,676
2,000
Jitaarisheni msiba mwengine kama alivyofanyiwa marekani Iraq na Ayatullah soon, msije mkakimbia uzi kama mlivyokimbia wakati Marekani alivyochezea kichapo huko Iraq
Usiku wa kuamkia hii leo Uturuki imeripotiwa kuingiza takribani magari ya kijeshi 170 nchini Syria na mpaka kufikia hivi sasa inadaiwa kuwa zana hizo vikiwemo vifaru zaidi ya 100 zimekwisha fikia zaidi ya 400.

Magari ya kijeshi ya Uturuki yametapakaa mjini Idlib pamoja na vijiji vya karibu kwa ajili ya counter-offensive kwa majeshi ya Assad muda wowote.

Hii convoy ya Uturuki iliyoingia ni kubwa sana. Wizara ya ulinzi ya Uturuki inasema imejipanga kisawasawa na shambulizi lolote dhidi yao kutoka kwa majeshi ya Assad litajibiwa ipasavyo.

View attachment 1351123
View attachment 1351130
Screenshot_20200208_212123_com.codeofzero.shabbir.presstvnewsapp.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
6,676
2,000
Taari kuna vijiji leo jumanosi Syria ameviramba huko, jitaarishe kisaikologia
Usiku wa kuamkia hii leo Uturuki imeripotiwa kuingiza takribani magari ya kijeshi 170 nchini Syria na mpaka kufikia hivi sasa inadaiwa kuwa zana hizo vikiwemo vifaru zaidi ya 100 zimekwisha fikia zaidi ya 400.

Magari ya kijeshi ya Uturuki yametapakaa mjini Idlib pamoja na vijiji vya karibu kwa ajili ya counter-offensive kwa majeshi ya Assad muda wowote.

Hii convoy ya Uturuki iliyoingia ni kubwa sana. Wizara ya ulinzi ya Uturuki inasema imejipanga kisawasawa na shambulizi lolote dhidi yao kutoka kwa majeshi ya Assad litajibiwa ipasavyo.

View attachment 1351123
View attachment 1351130

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana Utam

JF-Expert Member
Feb 15, 2016
6,612
2,000
Uturuki anajaribu kumzuia Assada asiiteke Idlib.
Uwezo wa kumzuia Assad anao (Kama akitaka).
Sio asiiteke asiikomboe maana idlib ni sehemu halali ya ardhi ya syria

Ohooo kwahio kama asipotaka hawezi ama

Nikwamba jamaa wanajipapatua 2 ila hawana madhara saaana maana wanajua litakaloenda kuwakumba ikitokea wataingia vitani na SYRIA.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
12,004
2,000
Turkey ameingia kichwa kichwa huko Idlib ndipo atawakuta Mmarekani, Syria na Russia wamekaa pamoka wakigonga kashata na kahawa huku wakicheza bao. Maana Marekani, Syria na Russia wapo nyuma ya harakati za Wakurdi huku Iran na Turkey wakipinga.
Huu mvutano unakwenda kuwaunganisha Iran na Turkey huku ukiwatenganisha Syria na Iran.
Dah, hapo middle east is a place to be kwa kweli na panafaa kwa honey moon or some retreat visits.
Maana unaona kabisa kwamba likiisha hili litasunuka lile.
 
Morogoro kaskazini

JF-Expert Member
Jul 5, 2020
544
1,000
Mji wa sagreb umetekwa rasmi jioni hii wanachofanya saa hizi Ni combing through the town,ikumbukwe ndani ya mji huu,Turkey walideploy post nne,zote ziko under Syria army,
Waasi walijaribu counter attack kutokea nayrab mji jirani na sagreb lakini ikafail,
Next step Ni kuanza campaign ya kuchukua idlib,,pengine wanaweza kupause kidogo kwa mda wakifanya combing na fortfying ili kuepuka tatizo la overextension.
Hizi post za Turkey ambazo zimezungukwa Ni sawa na kambi ya jeshi,zingine ziko na vifaru zaidi ya 20,
Kwahiyo unapowazunguka na kutaka kumove on lazima kuachana ulinzi wa uhakika Kama hutaki kujikuta unapigwa kutokea nyuma
sasa mbona siku hizi mapigano yametulia huko
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom