mapezi

Dec 3, 2013
9
0
siku hizi mapenzi umekuwa mchezo mbaya sana inatokea umempenda msichana alafu unakuta anafanya mahusiano la rafiki yako kabisa hivi mwanawake wa siku nashindwa kuelewa sijui wanamatatizo gani kwasababu vitendo wanavyo fanya si vizuri kabisa .je tufanyaje kuzuia tatizo hili maana linakera sana
 
Mkono mtupu haulambwi na mbwa
Halafu kwA nini unamlaumu mdada peke yake...mbona usimlaumu na rafiki yako anaekumegea kakiburudisho kako...
Mtuache.
 
halafu siku nyingine uandike vizuri sio kama umekurupushwa ndugu, mapenzi ndivyo yalivyo kama hutaki kuumia kua mr.lonely, just simple.
 
mkuu kuwa lonely ni shida!!!! niulize mimi niliye kwenye lonely premier league!

ni majanga tu!
 
Mkono mtupu haulambwi na mbwa
Halafu kwA nini unamlaumu mdada peke yake...mbona usimlaumu na rafiki yako anaekumegea kakiburudisho kako...
Mtuache.

tuwaache mmegwe ovyo ovyo si ndiyo?

mmhhh!! nalikumbuka sana lile janga la mombasa!
 
siku hizi mapenzi umekuwa mchezo mbaya sana inatokea umempenda msichana alafu unakuta anafanya mahusiano la rafiki yako kabisa hivi mwanawake wa siku nashindwa kuelewa sijui wanamatatizo gani kwasababu vitendo wanavyo fanya si vizuri kabisa .je tufanyaje kuzuia tatizo hili maana linakera sana

ulimaanisha mapezi ya samaki ?
 
tuwaache mmegwe ovyo ovyo si ndiyo?

mmhhh!! nalikumbuka sana lile janga la mombasa!

Siku hizi ngoma droo....
We mega kwa shosti wangu....
Na mie namegwA na rafiki yako...
Ikikuuma tulaumu wote mie na rafikiyo siyo mi peke yangu....
Nasisitiza mtuache...
 
mume akimegewa ndio inauma! sio mke!
 
hahahaa hiyo ndo ipi tena ndugu?

mkuu kuwa lonely ni masahibu mengine makubwa!

isitoshe pale unapokuwa na hamu ya k continuosly!

yani utatamani kila mwanamke aliye 'tia' uso mbele yako!

so ni bora tu utafute Nambe mmoja utulie nae!
 
Last edited by a moderator:

Ukute huyo Nambe mmoja nae pasua kichwa...
 
Last edited by a moderator:
siku hizi mapenzi umekuwa mchezo mbaya sana inatokea umempenda msichana alafu unakuta anafanya mahusiano la rafiki yako kabisa hivi mwanawake wa siku nashindwa kuelewa sijui wanamatatizo gani kwasababu vitendo wanavyo fanya si vizuri kabisa .je tufanyaje kuzuia tatizo hili maana linakera sana

wanapenda kugegedwa na mitalimbo mbali mbali au wee ulidhani ni wanaume pekee ndio wanaopenda onja ladha tofauti?
 
huu mtaala urekebishwe mapema. kijana mtoa mada ana ufahamu wa maloveee ilhali hajui kuandika?
 
Mapezi ya sato au?jikague kwanza ndo ulalamike unaibiwa..
Wanaume wengine mkipata girlfriend hamuishi kusifia na kutambulisha kwa kila rafiki..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom