NILHAM RASHED
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,622
- 43
S,A,,, ndugu na jamaa zangu kwa ujumla,,
mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24 now,,sikuwah kumruhusu mwanamme yoyote kukaribia joto langu la mwili,,,simaanishi sijawahi kujihusisha na mapenzi laa!!! nilisha fall in love na kijana alienipenda nikampenda,,ispokua ni mapenzi ya email sms sim zawadi, bas kwa ajili ya madhehebu tulonayo,,tena hayo yalikuwa ni ya siri,sana bila wazazi wa pande zote kujua na ukizngatia alikua ni mtoto wa amy yangu,,soo soon nilikuja kuposwa nilikataa na lakini huo ndio ulikua mwisho wangu mimi naye na kwa sasa kasafiri holand na kukata mawasiliano yetu,, almost 11months up to now,,sijui kosa langu wallah!! na ni wengi niliowakataa si ofisini wala nyumbani kulinda dreams tulizopanga mimi naye,,,na istoshe alipata khabari ya kumwa kwangu ila hakujali na si kawaida,,,moyo wangu wasema bado nimfatilie lakini na roho nayo yasita...ya raab!!
then pia nilipewa transfar juzi hospital nende india au huko aliko yeye kwa matibabu ya moyo na najua fika wallah tutakutana mana wote hua twafikizia kwa aunt yetu alioko huko ni yeye tuu ndie mwenyeji wetu,,,so wats wrong with him jamani?????na jee kuna umuhimu wowote kukutana tena???sijui hata kueleza jins nikimfikiria,,