Namana kabeza
New Member
- Oct 2, 2010
- 4
- 0
mtazamo tu
mapenzi mi wala siyaelewi naona kama yananichanganya. Unaishi na mtu ulikuwa unampenda lakini kutokana na visg vyake unaacha kumpenda na unabaki kama m2 tu. Halafu unagundua unapenzi la kweli mahali na huwezi kulikosa hapo hapo lile ambalo halina tija unalilinda ili lisivunjike eti kwa sababu nna watoto na mmejenga. Kama ni wewe uko kwenye hali hi unafanyaje?

hee pole,
mie nakushauri kula kote kote...:embarrassed::embarrassed:
usimuache huyo uliyezaa naye wala usimuache..huyo mpenzi mpya...:redfaces:
thanks kaka mkubwa kwa ushauri uliosimamaNamana kabeza..............kwanza nikukaribishe jukwaani pili nikiushauri kaa chini piga picha miaka 20 mbele ; ukijiona bado unao huomsimamo basi endelea na uyafanyayo! La huna basi sahau na upige magotimuombemungu akusamehe!