Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwambie ajiue tu. Hata akikubaliwa atakuwa msumbufu sana katika maisha na kuendelea kutishia kujiua.
khaaa
una guna nini?
Nataka nije kukuibukia na limbinu la huyo jamaa.
Lazima nijitoe roho.
dunia ina mambo.lol
hahahaaa labda unywe serengeti na fansida ukiwa tayari niambie
Ndo hawa wanojinyonga mguu badala ya shingo
Kujiua sio suluhu, ajiulize kwa nini anakataa.