mapenzi

viking

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,143
1,291
Nimegundua mama mkwe wangu mtarajiwa nimenzidi umri kwa miaka 3 Hii imenivunja nguvu kabisa, Je niendelee kumuona bint yake?
 
Nimegundua mama mkwe wangu mtarajiwa nimenzidi umri kwa miaka 3 Hii imenivunja nguvu kabisa, Je niendelee kumuona bint yake?

ww vp si ndo vzr sku mambo yakiwa vizur unamkamua na yeye! Kumbe bado mbich ww shukur mungu
 
mkuu mbona hainingii akilini hii inshu yako? kuna uhusiano gani kati ya umri wa mkweo na kumuoa binti yake?
hivi vigezo vingine visivyo na mbele wala nyuma visitumike kabisaa linapokuja suala la kuona,umeshamgegeda binti wa watu halafu unaanza kuleta story alinacha,kwa hiyo kila utapokuwa unamtongoza mwanamke ina maana utakuwa unauliza umri wa mama zao ama baba zao?
 
Nimegundua mama mkwe wangu mtarajiwa nimenzidi umri kwa miaka 3 Hii imenivunja nguvu kabisa, Je niendelee kumuona bint yake?[/QUOTE
Lol, kua uyaone! Kasheshe kwenye salamu sasa, sijui atakuamkia ama wewe ndo utamuamkia! Au mtaambizana MAMBO? Hapa kwa kweli mie naona kama kuna kupungua kwa maadili, sasa wewe babu mzima unataka kukaoa hako ka-binti kwani wakongwe wenzio hawapo? No, samahani, acha wataalamu waje wakushauri! MIE NAWAZA TU JAPO KWA SAUTI...!
 
Lengo lako libaki palepele kwani ni malengo yenu ya ndoa hausiana na swala la mama mkwe kamalisha taratibu za ndoa na huyo mwenzako na uendelee kumuheshimu mama mkwe kila siku maana ndiyo mzaa chema hakuna haja ya kutaka kusita na kuchukua maamuzi mengine. Mambo ya umri wa mzazi wake hayakuhusu kabisa
 
Nimegundua mama mkwe wangu mtarajiwa nimenzidi umri kwa miaka 3 Hii imenivunja nguvu kabisa, Je niendelee kumuona bint yake?

ndugu bila kumung'unya maneno ni hivi 'jiandae kumdungua na yeye maana ipo siku atataka na mbaya zaidi utakapojaribu kumdungua akanogewa atavunja ndoa ya binti yake ili afaidi yeye'! kama unaoa oa huyo binti. ila mama mtu akitaka sindano aisee kaa mbali kabisaaa otherwise itakuwa dissaster!!
 
kwani ww unamuoa mama mkwe? au kigezo ilikuwa ni lazima mama yake awe mkubwa kwako? kama ni hivo ulitakiwa umuulize kabla hujataka kumuoa, naamini usingekuja hapa kutusumbua. AHSANTE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom