Nimegundua mama mkwe wangu mtarajiwa nimenzidi umri kwa miaka 3 Hii imenivunja nguvu kabisa, Je niendelee kumuona bint yake?
Nimegundua mama mkwe wangu mtarajiwa nimenzidi umri kwa miaka 3 Hii imenivunja nguvu kabisa, Je niendelee kumuona bint yake?[/QUOTE
Lol, kua uyaone! Kasheshe kwenye salamu sasa, sijui atakuamkia ama wewe ndo utamuamkia! Au mtaambizana MAMBO? Hapa kwa kweli mie naona kama kuna kupungua kwa maadili, sasa wewe babu mzima unataka kukaoa hako ka-binti kwani wakongwe wenzio hawapo? No, samahani, acha wataalamu waje wakushauri! MIE NAWAZA TU JAPO KWA SAUTI...!
Nimegundua mama mkwe wangu mtarajiwa nimenzidi umri kwa miaka 3 Hii imenivunja nguvu kabisa, Je niendelee kumuona bint yake?
Je niendelee kumuona bint yake?
duuuuuhhhhhhhhhhhhhh!.....nonsense!ww vp si ndo vzr sku mambo yakiwa vizur unamkamua na yeye! Kumbe bado mbich ww shukur mungu