Mapenzi

Mundeba

Member
Dec 21, 2012
6
1
ninatafuta mchumba mwenye miaka 20 hadi 24.mrefu mwenye fut 3.5 na kuendelea.din au kabila havizingatiwe,elimu kuanzia 4m 4.mawasiliano 0788040425.
 
Unamtaka awe mrefu wa ft 3.5?! Duuu! Mbona mrefu saaaana! Japo angekuwa ft 2 tu!
 
ninatafuta mchumba mwenye miaka 20 hadi 24.mrefu mwenye fut 3.5 na kuendelea.din au kabila havizingatiwe,elimu kuanzia 4m 4.mawasiliano 0788040425.

Huo urefu wa kuanzia mbona ni wa mbilikimo sana.
 
Kwanza title, vigezo na mtiririko wa mawazo unasadifu status ya mtoa tender.. JF ya 5yrs to come itakua ya ajabu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom