Suzane costantine
New Member
- Apr 23, 2012
- 2
- 0
Roho inauma baada ya kugundua mpnz wangu anamtaka rafiki yangu nimejaribu kuuliza anadai its just joke tu ivi kweli kwny swala kama hilo kuna utan?nisaidien bandugu
halafu joke gani hz za kuvuana vyupi?
Mmmmmmmmmhhhh! Thats the higgest form of Purposely Disrespect!!!!!!!!! Lord have mercy! When will the women learn to DEMAND THE RESPECT THEY DESERVE!!!!!!!!!!
Aaah... Wanaume wengine wanatia hasira...!!
Yaani uanze kuhashuana na rafiki yangu..!! Piga chini mapema hakufai kabisaaa..!!
uligunduaje? Au rafiki wako alikwambia? Au uliona daliki hatarishi? Wadada mjifunze kuchora mstari kati ya mashosti zenu na wapenzi wenu! Wasiwe na mazoea! Haswa kama bf wako macho juu juu kama chura!
Ila kwa kuwa ushamgundua mpige chini huyo bf. Hana maana,hafai
Swali la kizushi, bf wako hajamlamba rafikio kweli?