Mapenzi

Suzane costantine

New Member
Apr 23, 2012
2
0
Roho inauma baada ya kugundua mpnz wangu anamtaka rafiki yangu nimejaribu kuuliza anadai its just joke tu ivi kweli kwny swala kama hilo kuna utan?nisaidien bandugu
 
uligunduaje? Au rafiki wako alikwambia? Au uliona daliki hatarishi? Wadada mjifunze kuchora mstari kati ya mashosti zenu na wapenzi wenu! Wasiwe na mazoea! Haswa kama bf wako macho juu juu kama chura!

Ila kwa kuwa ushamgundua mpige chini huyo bf. Hana maana,hafai

Swali la kizushi, bf wako hajamlamba rafikio kweli?
 
Piga chini huyo bf,km anamtaka best yako vp huko mtaani kwao si ndo kamaliza wote.
 
huyo rafiki yako ni mzuri kuliko wewe? kama ndio basi jua jamaa anataka kuwagegeda wote wawili lol. mpeni tuu kwani u nnever fantasied having a threesome with ur frend?
 
Tatizo lako rahisi. Ukitaka kuamini kuwa alichofanya ni joke tu, muulize nawe kama unaweza kufanya joke kwa kubemenda amri ya sita na rafiki yake. Ili akome ubishi, licha ya kumpiga chini, mwambie kuwa unafanya hivyo baada ya kugundua kuwa kumbe alikufanyia hivyo baada ya kugundua kuwa ulikuwa unamfanyia hivyo. Dawa ya mpumbavu kama huyo ni kumuacha kipumbavu kadhalika. Hana maana. Huyo rafiki yako si rafiki tena bali adui kama uligundua. Kama alikutonya basi ni rafiki wa kweli.
 
halafu joke gani hz za kuvuana vyupi?

sasa akikwambia ukweli sii utakasirika basi akiweka ki joke zaidi utafurahi na kicheka lol
alafu huyu jamaa alikosea alitakia fanya hii wakati wa april 1 hahaha ndio ingemake senss vizuri zaidi
 
Sasa wewe unadhani angejiteteaje baada ya kumshtukia??? Jipe moyo na uchukue hamsini zako, vinginevyo yatakuja makubwa au pengine yapo lakini hujayagundua bado. ''Liwezekanalo leo, lisingoje kesho, kesho ni ya manyani''
 
Mmmmmmmmmhhhh! Thats the higgest form of Purposely Disrespect!!!!!!!!! Lord have mercy! When will the women learn to DEMAND THE RESPECT THEY DESERVE!!!!!!!!!!
 
Aaah... Wanaume wengine wanatia hasira...!!

Yaani uanze kuhashuana na rafiki yangu..!! Piga chini mapema hakufai kabisaaa..!!
 
Hahah.. lara 1 na Neylu...nani wa kulaumiwa eti??!
 
Last edited by a moderator:
uligunduaje? Au rafiki wako alikwambia? Au uliona daliki hatarishi? Wadada mjifunze kuchora mstari kati ya mashosti zenu na wapenzi wenu! Wasiwe na mazoea! Haswa kama bf wako macho juu juu kama chura!

Ila kwa kuwa ushamgundua mpige chini huyo bf. Hana maana,hafai

Swali la kizushi, bf wako hajamlamba rafikio kweli?

Daah!! hongera sn ndugu! Kwa kuliona hili!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom