Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,703
- 8,481
- Thread starter
- #221
Mkuu vile unajisikia nafahamu
Muda mwingine unawezza jiuliza sana na usipate majibu
Nliwahi mpenda mwanamke mmja hadi nkawa sijielewi mkuu
Wakati hua sina kazi nnaunga unga..... Kwakua mim ni fundi pesa yakitaa nlikua sikosi na nlikua npo nyumbani bado hvyo nkawa na mpa pesa ajisikie
Gafla!!!!!!! Jamaa mmja akaingilia kati(ni stori ndefu yakuandika uzi)) manzi akawa heleweki ukichek mwenyewe nmekoleeeeea hadi mwisho... Ase nlikua naona kitanda kigumu... No kula
Yaaani shida
Hope angetulia now angekua wife ila kwa aloyafanyA siamin mtu kwa sasa
Kama mtu hayajamkuta hawezi kuelewa kabisaa, ndio maana wengi wanacheka