Ndio inavyokuwa mkuu, katika maisha tunajifunza kutokana na makosa. Mwanzoni kuteleza ni kawaida ila kuanzia paper 2 unakamua kwa uwezoHahah mkuu unahisi kweli sijawahi kupenda???
Tatizo alipenda akaingiza miguu,kichwa na kiwiliwili kwa pamoja...
Tena umemshauri vizuri sana huyu..Nafikiri kama wewe kuwa abadilishe approach mana inaonesha akipenda huwa anajali kupita maelezo...Ajikaze maisha yaendelee.
Unataka kusema mpaka sasa hivi bado hujauelewa?Kaka kama sijauelewa basi ngoja niw mshabiki tu
Hahahahahahaha pole
Unataka kusema mpaka sasa hivi bado hujauelewa?
Kama mtu unampenda na unapanga future nae, akizingua shukuru Mungu wala usiumie. Shukuru kwasababu kazingua mapema, angezingua tayari mko ndoani hio ni changamoto maanake kosea hata kujenga ila sio kuoa. Mimi mwanamke nikimpenda akizingua namuacha immediately kwasababu huko mbele nitapata shida, lakini kama simpendi akizingua naenda nae hivyo hivyo namuweka sehemu yake tu.Kuumia kupo ila ukiwa na expectations, hii hutokea first time mwanaume anapopenda kweli na kutazama future na mwanamke husika. Ukipigwa za uso hapo lazma udate.
Ila kwa wale wa kusogezea siku hata kibuti siwazi kwanza ndio nauza match kila nikipata nafasi. Ntaumiaje wakati sina mpango nawewe. Works like that!
Pongezi kwenu maana sisi wengine tukiingia kwenye mahusiano huwa tunapenda vibaya na tukitendwa inatukoti vibaya.Mikiki mikiki ya mapenzi na simulizi za kuumizwa kama hizi ndio zinatupa huo ujasiri mpendwa
Kama mtu unampenda na unapanga future nae, akizingua shukuru Mungu wala usiumie. Shukuru kwasababu kazingua mapema, angezingua tayari mko ndoani hio ni changamoto maanake kosea hata kujenga ila sio kuoa. Mimi mwanamke nikimpenda akizingua namuacha immediately lakini kama simpendi akizingua naenda nae hivyo hivyo namuweka sehemu yake tu.
Mkuu ushawahi kunyofolewa ukucha wa kidole kikubwa cha mguuni? Unayafahamu maumivu yake? Utagundua hayo maumivu unayo yasema ya mapenzi si kitu.
Pongezi kwenu maana sisi wengine tukiingia kwenye mahusiano huwa tunapenda vibaya na tukitendwa inatukoti vibaya.
Ok furahia mchezo sasaNimeshaelewa sana
Ukinyofoa kucha unaweza kula na kulala kabisa lakini sio love hivyo vitu vyote unaweza usifanye wala kutamani kabisa.Maumivu ya nerves ni tofauti kabisa na maumivu ya moyo
Ukininyofoa kucha nakula sana, tena nitataka vitamu zaidi
Sasa huko kutendwa kukishakutokea mara nyingi unakua sugu na wewe utaanza kucheza game ya mapenziPongezi kwenu maana sisi wengine tukiingia kwenye mahusiano huwa tunapenda vibaya na tukitendwa inatukoti vibaya.
Hapa nimekuelewa mkuuSasa huko kutendwa kukishakutokea mara nyingi unakua sugu na wewe utaanza kucheza game ya mapenzi
Acha nikiri mimi ni weak, siwezi kupenda kwa kuingia mguu mmoja
Pamoja sanaHapa nimekuelewa mkuu
Ok furahia mchezo sasa
Wanawake, Ishi nao kwa akili sana...huwa wengine hawajielewi kabisa, wanayumba mbaya mbovu..