Mapenzi yanauma sana ndugu zangu, kamwe usimcheke mtu kama bado hayajakukuta

Naamini hata hao huwa hamaanishi wanachosema ila basi tu wanaume siku zote hupenda kujifanya wapo strong

Asikudanganye mtuuu hata uwe nao 5, kuna mmoja tu atakuliza na ndio huyo unampenda sanaa, naishi nao wanaume nawajua, mtu utakuta ametoka mshipa yakimkuta anakua mpole sanaaa, sema damages inakua sio kubwa sana kama sisi wenye kamoja
 
Hakika, ukishakinywea hiki kikombe lazima ubadilike
Huo nauita ubatizo wa moto, sasa sahivi umezaliwa upya katika maswala ya kimahusiano. Ukilizwa tena ujue umejitakia ila hivyo ndio gemu inavyokwenda. Kingine soma tabia za wanawake cheki makala mtandaoni. Zilinisaidia sana ikiwamo kufahamu kuwa the more you lurk around a woman the more he find you clingy.

Ukimuonesha kumjali sana KE anakuona uko weak sana it turns her off you should not be overnice.
The more you hurt yourfself pleasing her the more she feels insecure about you. Unatakiwa umjali kwa kiasi tu usijiumize kuonekana hero mbele yake maana mwisho atakuona kituko. Ndio walivyo hao.

Mwisho ujifunze kukaza, dont be a doormat sio kila unachoombwa unatoa tu. Vingine kataa, set standards zako mzee. Try to loose her at times analeta kwere, atajitudisha mwenyewe on track sio unafanyiwa vituko unang'ang'ania tu kama mamaako mzazi huyo. Let her loose akisepa ujue hakuwa wako
 
Kupenda hadi kushindwa kula,kutundikiwa drip dah mie naona ulijiendekeza sana...

Wewe sio wa kwanza Kupenda wala hautakuwa wa mwisho hebu jikaze na upunguze kulialia.

Sijalia tenaa na sitegemei sanaaa, ila ujue kuna wanaume wanapenda balaa sema ndio hivyo chanhamoto hazikosi
 
Jibu zuri sanaa hili Mkuu, tatizo kuna watu wanajifanya wana roho za Kimungu kwamba wanajiaminia sanaa kana kwamba wanahisi ni Udhaifu Kumpenda mwanamke unayetarajia awe mke wako mama yako wa uzeeni mwako

Na mimi ndivyo nilivyo, nikipenda nazama mzimaaa mzimaa, nashindwa kujizuia kabisaaaa, inanibidi niwe na mmoja ambae nauhakika nae
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom