Mapenzi yanaua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi yanaua?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MzalendoHalisi, Dec 16, 2007.

 1. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2007
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  http://www.thecitizen.co.tz/

  MKE WAKO UMEMUOA UNAKAA NAE MIEZI MINNE- HALAFU ANATOROSHWA NA JAMAA MWINGINE- UNGEKUWA WEWE UNGEJINYONGA? DU YAANI KAZI SANA!
   
 2. u

  under_age JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2007
  Joined: Apr 17, 2007
  Messages: 317
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  vijana wengi wanajiangamiza kwa hichi kinachoitwa "mapenzi". sijui kama wapo right kujihukumu namna hii?.tujadilini
   
 3. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2007
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Kitendo tu cha mke kutoroka na jamaa mwingine- huyu mke hakuna na mapenzi ya kweli. Ningekuwa mimi -ningeoa tu binti mwingine- ila kujiua is going too far!
   
 4. u

  under_age JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2007
  Joined: Apr 17, 2007
  Messages: 317
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  unajua kuna wengine wanaruhusu mawazo yatawale maamuzi yao.hata mimi nadhani sio solution kwa kijana kujiuwa kisa tu kakimbiwa na mwanamke au mwanamme.ni kweli inauma sana ,na inaweza ikakufanya ukose raha ya maisha ,hususan kama aliekuendea kinyume ulikuwa unamuona nje vyengine lakini kumbe kifuani mwake kaficha mengine.
   
 5. J

  John W. Mlacha Verified User

  #5
  Apr 20, 2013
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hakuna binadamu ambaye hawezi kujiua kwa sababu ya mapenzi
   
Loading...