Mtu na nusu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 636
- 1,115
Habari yenu wana jamvi. Natumai mu wazima wa afya.
Nisipoteze muda iko hivi
Kuna binti mmoja hapa chuoni niko nae kwenye mahusiano kwa miezi 6 sasa. Ninampenda & analifahamu hilo. Ndo niliepanga toka awali awe mama watoto (Kama Mungu atabariki). Nimekuja kugundua yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine huko kwao.
Nimembana amenambia kila kitu na amesisitiza nisimuache kwani ananipenda sana. Nimemuomba aachane na huyo jamaa kama kweli ananipenda ila amesema na yeye anampenda pia. Nimemuuliza Kama ana future naye. Kaniambia anaona future pande zote( kwetu wote).
Hebu nisaidieni wakubwa. Make niko njia panda. Kumpenda nampenda sana.
Jf is my home where I can get every advice I need.