Mapenzi Yanataabu

Mama

JF-Expert Member
Mar 24, 2008
2,849
0
I suspecyt Mama is not from the coast..yaani mashairi yako yako so dry

hayo hayakuwa mashairi kutoka kwa Mama bali ujumbe tu kama ninavyowapa ujumbe binti zangu kuhusu mahusiano. Mama ataandika lubricated shairi next year! FYI Mama is from no where.
 

Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,338
2,000
Haika, kwa hiyo wewe huamini katika mapenzi?

I believe in mapenzi if it means total commitment, giving yourself totally to the chosen one.
Yes I believe in it and as a conscious decision, and the feeling has to come as a result of your decided actions.
I do not believe in the feeling to drive my decisions.
You have to decide to share your life with your spouse, the decision has to be based not on the feelings you have for each other.
The decision is based on knowledge of each other: interests, habits, relatives, friends, priorities etc.
You have to be sure that you want to trust him/her with your life, you let yourself go and include his/her heart in yours.

You have to make a DECISION, and stick to it.
 

czar

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
340
0
....................
Kawanusuru mwenyezi, khofu yao juu yako

Hebu nitowe majonzi, unijuve shida yako
Shida yangu sijiwezi, dawa yangu sura yako
Mwenginewe hachomozi, nakupenda pekeyako.

Ah na mwingine aendeleze utamu huu wa wimbo. I like da song we acha tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom