Mapenzi yananitesa: Mpenzi wangu anapenda sana kununa

Duuu pole mkuu na mi nina msara kama wako lakini nina kama siku 3 nimepata nafuu kidogo ni baada ya kumtwanga sms moja matata nilimwambia mwaka umekwisha sitaki kununiwa bila sababu kwamba akiendelea me nitamuhacha hapa toun naenda zangu kijiji kulima
Umenichekesha kweli huo mkwara wa 2018... lol,
Akinuna unamuachia mji unaenda zako kijijini hahaha huyu wangu atazimia nikimwambia hivyo maana ni kama anatikisa kiberiti hivi.
 
1. Wewe ni jinsia gani? Ingawa unajiita culture gal hili jina hali guarantee wewe kuwa mwanamke.
2. Nahisi hiyo unayosema kwa mwezi ananuna mara moja basi huyo atakuwa ni kipindi kile yupo period.

3. Alisema umemtelekeza maana yake yeye ni mwanamke na wewe ni mwanaume ingawa unajiita culture gal. Au wewe mwanamke ila umemuoa yeye.mwanaume hawez kusema maneno hayo ya kumtelekeza na kumnyanyasa.

4. Je wewe ni lesbian au shoga? Au yeye ni shoga? Au wewe ni mwanaume ila huwa unajifanya mwanamke na leo umejisahau?

5. Kama wewe ni mwanamke wa kawaida achana na huyo unayemwita mpenzi maana hamna mwanaume hapo.una kavulana na mna behave kama watoto. Nitafute nikupe ushauri zaidi.
 
Hahaha imebidi kwanza nicheke maana duuh sio kwa kuorodhesha huku....

Sawa bro, shukrani kwa ushauri wako.
 
Back
Top Bottom