Mapenzi yana raha sana pale unapogundua wote mko salama na hamna vinyemelea vya maradhi ya tendo

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,355
40,238
Mapenzi yana raha sana pale unapogundua wote mko salama na hamna vinyemelea vya maradhi ya tendo.Mnakuwa mko huru kubusiana,kushikana,kutumia staili mbalimbali n.k Unaweza kuchukulia mfano tu,unapokutana na mwenzako kwa mara ya kwanza,unakuwa na mashaka naye na hata kama umetumia mpira unakuwa unapiga shoo kwa wasiwasi n.k. Miaka ya nyuma ilinitesa sana,ila kwa sasa baada ya kuona tuko powa...kazi imekuwa ni kutwangana tu,iwe kaskazini,kusini,mashariki au magharibi.
 
Back
Top Bottom