Mapenzi yamenilevya(Love Hangover)

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,211
1,185
Mapenzi ni kama kahawa,ladha yake ni nzuri yakiwa ya moto,lakini yakipoa ni raha na karaha.Viola, msichana mrembo mwenye mguso wa ajabu kwenye mioyo ya wanaume,anahaidi kuolewa na John Balisidya,kijana fukara mwenye mapenzi ya kweli na ahadi za kufurahisha masikioni.Wanavalishana pete ya uchumba siku chache kabla viola kuelekea masomoni nje ya nchi.

Fredy,kijana mzuri,nadhifu na mkwasi mwenye uzoefu mkubwa wa kucheza vizuri na hisia za mabinti warembo,anaununua moyo wa Viola kwa uwekezaji mkubwa wa pesa na starehe zisizo na kikomo.John Balisidya hafahamu kuwa kusubiri ahadi ya Viola ni sawa na kusubiri embe dodo lianguke chini ya muarobaini.Aanapostukia na kuweka pingamizi anakuwa tayari amechelewa.Fredy na Viola wanafunga ndoa ya kifahari na kuachwa solemba.Muda mfupi baada ya ndoa hiyo kufungwa Viola namfumania Fredy akifanya mapenzi na mchepuko juu ya meza ya ofisi.

Uvumilivu unamshinda,ananunua kisu kirefu chenye makali kama wembe na kukificha chini ya mto kitandani.KATIKA MCHEZO HUU HATARI WA MAPENZI KILA MTU ATALIPA GHARAMA............

FIKIRI NJE YA BOX

Source:KELVIN MPONDA
 
"We suppose to focus according our direction, according our environment, that's only way we can help our peoples. No body should come and say that his there to save the problems of our peoples, we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Ngoja nimtafute Ras Simba!
Kwamba kwa lugha ya kawaida una maanisha hakuna wa kuja kutatua matatizo yetu kama wenyewe hatuyatatui au, Senti kayumba inaniyumbisha
 
"We suppose to focus according our direction, according our environment, that's only way we can help our peoples. No body should come and say that his there to save the problems of our peoples, we are the one we are leader we suppose to change the direction"
😂😂😂
 
Back
Top Bottom