Mapenzi yamenichosha: Tupe kisa kilichofanya uyachoke mapenzi

Hukumpa za kutosha sema kweli mwanamke hajawahi kuacha pesa akafata mkuyenge

Hahahaha ukweli mchungu ...... cha ajabu atakuuliza fulani ulikosa nini kwangu !!! Ebooo kimoyo moyo nasema kwani ulishawahi nipa nini cha maana sanaaa!!!!!!

Huuu msemo nilikuwa nampa kila kitu anachotaka ,kaka zetu sijui huwa mnamaanisha nini ?
 
Huu uzi ni kwaajili ya wote ambao tumeamua kuwa single baada ya kuchoshwa na mapenzi.

Weka kisa chako hapo kilichokuumiza tushare na marafiki.

Naanza mimi;
Nilikuwa na mpenzi ambaye nilikuwa nampenda sana ila siku niligundua anatoka na sugardady mzee sana, niliumia maana huyo mzee ni kama baba yake au baba yangu tu.
And you still learned nothing duu nakuonea huruma sana..... tafuta pesa acha kulilia
 
kila siku watu waliopitia njia ngumu kwenye mapenzi hapa Jf wanatuusia kwamba mapenzi hayana formula, usikariri mapenzi, wanawake hawatabiriki na mengine mengi. Wahenga kama wakina GuDume huwa wanatoa masomo mazito hapa kuhusiana na mambo haya. Nyengine unaweza kuzichukulia kama hadithi za kubuni lakini zinakuwa na mafundisho makubwa ndani yake. Mafundi wa mapenzi hapa JF pia wanatufundisha kuwa na ile muache aende kubali kuanza upya. Tujifunze wakuu.
 
Nashuukuri hili umelisema wewe maana
mimi nmesema watu wameziba masikio
Na wahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa.
 
Hukumpa za kutosha sema kweli mwanamke hajawahi kuacha pesa akafata mkuyenge
We akili zenu mnazijua wenyewe. Mtaa ninapoishi.. kuna matajiri wawil wakubwa wa madini. Lakin wake zao wanachepuka.kwa kwenda mbele.. na pesa ipo mpaka magari wamenunuliwa.
 
Back
Top Bottom