Mapenzi yamenichosha: Tupe kisa kilichofanya uyachoke mapenzi

kuna wanawake wenda wazimu brooo.......wanavinyonya 0713...baas....hivi visugar dad nasikia vinahonga balaa.......we tafuta pesa ziwe nyingiiiii
 
Mkuu tafuta mwanamke mwingine, ila angalizo mkuu.
Mwanamke uki mpenda saaaana anakuona boya amini nakwambia. Kila kitu akisema au anachotaka una mpa huyo ujue huwez kaa nae. Penda kiasi mkuu na sometimes kash kash za hapa na pale ziwepo.
 
Kama ni pesa nilikuwa nampa za kutosha tu aiseee ila wanawake sijui wanashida gani yaan na mwezi wa saba ndio ilikuwa nipeleke posa kwao na mahari nioe kabisa aiseee ila ndio ivyo nimeangukia pua
Basi ulikua haimkuli vizuri, na huyo kibabu alikua anakwenda deeply up & down, left & right, in & out.....
 
Mkuu me ndo naona umeanza kuecerience,bado utakumbana nayo zaidi ya hayo mkuu,jitahidi kuweka akili sawa na kumuomba Mungu upate mke mwema
 
Back
Top Bottom