Mapenzi yamekua rahisi sana ndo maana ndoa hamna siku hizi

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,859
19,726
Eeh ndo hivyo, akina dada wengi wanajirahihisha sana wala hawaoni aibu kuzungusha kwa vijana wa mtaani na maofisini.Zamani nasikia msichana unaweza ukafukuzia miaka mi 2 na kuendelea nowdays ukitoka nae tu appointment chupa ya pili ikikolea kichwani akili yote inakimbilia chini kazi kwako tu kuangusha kwa ubua

Kingine material things, watu wengi wako kimaslahi ndo maana anaweza easily aka confuse mapenzi na pesa hii ni kutokana na economic liberalisation sijui? Utaona mdada ana mpenzi wake atakuambia i love my guy blah blah nyingi lakini sasa kama huyo Guy hawezi kumnunulia Iphone 7 wala hawezi ku offord outing za zanzibar weekend, we muambie tu twende Zanzibar this week lazima lovely Guy atoswe na lazima ujilie tu huko.

Mapenzi yakishakua tu biashara basi tambua kuwa soko lake litatawaliwa na demand and supply kwa kuwa kuna wadada wengi mjini supply ni kubwa lakini wanalazimika kushusha bei, utu tena katika mapenzi taratibu unapotea hapa ni chapa tu ilale. Kwanini wanaume waweke ndani wakati kinapatikana tu kirahisi? Na hata hiki kilichokua ndani kutokana na ushindani wa soko kinaweza kikachukuliwa?
 
Karibu kila mtu hupenda kusifia vya zamani..
hatujui tabu za watu wa zamani
imagine umemuona mwanamke wa ndoto yako na hakuna simu wala ku google jina facebook
na hafanyi kazi
na kwao akitoka kwenda dukani anaongozana na kaka yake

hebu jaribu kufikiria utampataje huyo?
watu wa zamani walikuwa na shida....mambo ya kushinda chini ya mti huku unaemsubiri wala hajui kuwa anasubiriwa yeye

maisha ya sasa utaweza kukaa chini ya mti masaa mangapi?

ya zamani tuwaachie wa zamani walio yaweza

deal na dunia ya sasa....

na bado kuna mabadiliko ya teknolojia mengi yanakuja
kuna binadaamu watakuwa nusu binaadamu nusu robot....

achilia mbali itakuwa ngumu kusema uongo in the future
watu watatumia chip uliyowekewa ulipozaliwa ku google data zako zote...

the future is here......na inakuja
 
Alie buni teknolojia katusaidia tunagegeda watoto wazuri Jana tu nimebilkili mtoto
 
W2 weusi bhana kila saa ni kudiscuss chini 2 ndio maana umasikini hauishi. Mkishakula donor lenu na dagaa la feri mkishushia na maji ya Kandoro kila dakika mnawaza mambo ya huko chini 2 masaa 24/7 hamna jambo lingine mnalofikiria.
 
mkuuuuu unebichekesha sana hiv unajua dona la dagaaa lilivo tamu hevu kaonje kwanza
 
Karibu kila mtu hupenda kusifia vya zamani..
hatujui tabu za watu wa zamani
imagine umemuona mwanamke wa ndoto yako na hakuna simu wala ku google jina facebook
na hafanyi kazi
na kwao akitoka kwenda dukani anaongozana na kaka yake

hebu jaribu kufikiria utampataje huyo?
watu wa zamani walikuwa na shida....mambo ya kushinda chini ya mti huku unaemsubiri wala hajui kuwa anasubiriwa yeye

maisha ya sasa utaweza kukaa chini ya mti masaa mangapi?

ya zamani tuwaachie wa zamani walio yaweza

deal na dunia ya sasa....

na bado kuna mabadiliko ya teknolojia mengi yanakuja
kuna binadaamu watakuwa nusu binaadamu nusu robot....

achilia mbali itakuwa ngumu kusema uongo in the future
watu watatumia chip uliyowekewa ulipozaliwa ku google data zako zote...

the future is here......na inakuja
Kweli zamani tulitaabika saaana,akienda kisimani upo,kwenye mboga shambani kama kawaida yaani kuviziana tu
 
W2 weusi bhana kila saa ni kudiscuss chini 2 ndio maana umasikini hauishi. Mkishakula donor lenu na dagaa la feri mkishushia na maji ya Kandoro kila dakika mnawaza mambo ya huko chini 2 masaa 24/7 hamna jambo lingine mnalofikiria.
Acha kutupotosha ww, kwani umeambiwa hili jukwaa linajadili siasa/uchumi? km hapakufai majukwa yako mengi tu hamia huko, hlf kandoro ndio nani? tushamsahau
 
Pole kama alikuvunjia kibanda chako cha maji ya Kandoro
 
Back
Top Bottom