Mapenzi ya watu wanaopiga pombe huwa ni matamu

Sebene likipigwa unalisakata kama kofi olomide
😂😂😂😂Ila kilaji kinatudanganya sana aysee,yan hua nkiingia nkshagonga zangu ka tatu iv ,wahudumu wa kike wanaanza kua Rhihana,Minaj na kina Beyonce huk wkt nafika nliwaona wa kawaida tu
 
Nikikumbuka jinsi mzee wangu alivyokuwa anabehave ktk familia time zile akishapiga gambe bhc najiapiza kutokuja kutumia hicho kinywaji aisee......nashukuru aliacha
 
Back
Top Bottom