Mapenzi ya watu wanaopiga pombe huwa ni matamu

Msisahau kushikana shikana na kuchum mda huo mkifika eneo l tukio mnamalizia tu
Mkifika eneo la tukio kutafuta goli sio jambo la dakika moja huwa mnaweza enda enda kidogo mkipiga goli mnakua hoi raha sana...watu hawajui tu ila siri ya upendo baina ya wapenzi ni mgegedo yani mkiwa mnapeana mapenzi yananoga zaidi...walevi sio wachoyo ndiyo maana.
 
Kuna ukweli 200%
Mnajiachiaaa mnawekeana kwny kikundi story zinaendelea vizuri kbs huku mkipata choma choma

Au km ni wenyewe chumbani ama sebleni kwa raha zenuuu mnaanza kuweweseka mnasindikizana mnananiiii kidogo mnalalaaa vizuriiii kabisaa
Hahaha umeshinda tano bila...huna mpinzani
 
Mkifika eneo la tukio kutafuta goli sio jambo la dakika moja huwa mnaweza enda enda kidogo mkipiga goli mnakua hoi raha sana...watu hawajui tu ila siri ya upendo baina ya wapenzi ni mgegedo yani mkiwa mnapeana mapenzi yananoga zaidi...walevi sio wachoyo ndiyo maana.
Uchoyo hamna kabisaa
Leo umenunuliwaaa kesho unamnunulia mwenzako ajiskie raha na yeye
 
Ukutane na binti amekunywa kiasi cha kutoa aibu sio kuzimika, yaan bado anajitambua, akiamua kukupa anakupa yote zima zima!
Pombe ikizidi kweli si nzuri jmn..nilizidisha dose siku moja waii...bahati niliwahi chumbani ...inaweza kukupa fedheha kubwa

Jijue na usizidishe
 
Sikubaliani na mtoa mada,kwani yeye kachukua sample ngapi kwa ajili ya research kutokea huko "Field" ?
We need plethora of evidence.
 
Kuna dogo mmoja mlevi kinyama ana she wake nae pombe nyingi..wakinywa wakilewa wakianza kuzinguana utasema hawa kesho wanaachana ukiingilia ugomvi wao aibu utaona wewe..wana mwaka wa tatu Sasa hawaachanagi wale viumbe
ha ha ha kuna ule usemi unaosema,ndege wafananao huruka pamoja; ndio maana wanaelewana
 
Back
Top Bottom