Mapenzi ya wanandoa

Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,280
3,345
Imebainika:wanandoa wanaweza wakaa mwezi mzima wakashiriki tendo la ndoa mara mbili tu na hali wanalala chumba na kitanda kimoja na pia wanaelekea upande mmoja,na inapotokea wanandoa hao wakawa sio waaminifu hushiriki ngono hata kwa wiki mara tatu wengine mpk mara 4 tena kwa jitihada tofauti wanapokuwa na wake/wame zao,nini tatizo??
 
Imebainika:wanandoa wanaweza wakaa mwezi mzima wakashiriki tendo la ndoa mara mbili tu na hali wanalala chumba na kitanda kimoja na pia wanaelekea upande mmoja,....

Huo utafiti umefanyika wapi na unahusu wanandoa wa aina gani, na afya zao zikoje, na ndoa yao ikoje, ukijua hayo yanaweza jibu swali lako...siwezi elewa ulale naye kitanda kimoja na mnaelekea upande mmoja na hakuna kinachofanyika wiki nzima mpaka wiki ya pili, kwa ulivyosema mara mbili kwa mwezi unamaanisha mara moja kwa wiki mbili....
 
unakuwa umeshaizoea mbunye hivyo akiifunua unaifunika mchezo umekwsha
 
hapo tayari kunakuwa na majanga, kama mimi sahivi nipo kwenye mgomo baridi wa kulala na wife mpaka mwezi huu wote upite.
 
Inatakiwa mara 1 kwa miaka mitatu....kwa ajili ya kuzaa...mengine mbwembwe tuu
 
Ndoa ni zaidi ya ngono ndg yangu! Hakuna tatizo ku do 2 times a month kama mnapendana na mu waaminifu! Mapenzi ya dhati hayaoneshwi kwa ku do peke yake,yapo mambo mengi sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom