sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,032
Kuna haya mahusiano ya umbali mrefu unakuta mwanaume yupo Arusha na mwanamke yupo moro
Aidha ni kwasababu ya kazi, biashara, n.k, hivyo kupelekea kutoonana kwa muda mrefu japo mawasiliano yapo.
Nasikitika navyoona wengi wanavyodanganyana kama watoto, kila moja anamdanganya mwenzake yeye hana mchepuko.
Binadamu kaumbiwa tamaa za mwili (libido) ambazo inabidi zitulizwe, sasa mtu yupo arusha mwenzake yupo mbeya hawaonani karibu mwezi kuna haja gani ya kuendelea kudanganyana??
Mtu anahitaji mtubwa kuongea nae kama mpenzi wake, kukiss nae, kushikishana nae mambo yake kwa ukaribu, n.k haya mambo tuwe tunaweka wazi tu.
Ni heri mtambulishane tu kwamba huyu mchepuko wake ni fulani na hivyo hivyo kwa mwengine,