Mapenzi ya umbali mrefu ni heri muijue michepuko yenu kuliko kufichana na kudanganyana

Kwani mbona hata wake za watu humu mtaani wanabanjuliwa tu na waume zao wapo hapa hapa ,,

Acha kujitekenya , point ya msingi hapa n kuwa ,yy agongwe tu huko sasa mm namzuia ili iweje na tupo mbali
Kuna jamaa wako ofisi moja na mkewe, na bado mkewe akawa analiwa na bosi wake, mpaka karibu kila mtu akawa anajua.

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nachoamini kama mwanamke anakupenda na muna malengo hata kama uko mbali kiasi gan hawezi kukusalti kirahisi.atakusalti pale atakapo gundua una mtu mwingine na huna mpango nae.

Ila mwanaume ni ngumu kumaliza hata miezi 2.kama kweli hana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
Mwanaume mwenye shida ya nguvu za kiume sio rahisi kubadili mwanamke coz anajua tatizo lake linaenda kujulikana kwa mtu mwingine. So ni mara chache sana kubadilisha mwanamke.
 
Kuna haya mahusiano ya umbali mrefu unakuta mwanaume yupo Arusha na mwanamke yupo moro

Aidha ni kwasababu ya kazi, biashara, n.k, hivyo kupelekea kutoonana kwa muda mrefu japo mawasiliano yapo.

Nasikitika navyoona wengi wanavyodanganyana kama watoto, kila moja anamdanganya mwenzake yeye hana mchepuko.

Binadamu kaumbiwa tamaa za mwili (libido) ambazo inabidi zitulizwe, sasa mtu yupo arusha mwenzake yupo mbeya hawaonani karibu mwezi kuna haja gani ya kuendelea kudanganyana??

Mtu anahitaji mtubwa kuongea nae kama mpenzi wake, kukiss nae, kushikishana nae mambo yake kwa ukaribu, n.k haya mambo tuwe tunaweka wazi tu.

Ni heri mtambulishane tu kwamba huyu mchepuko wake ni fulani na hivyo hivyo kwa mwengine,
Kama ni wa kuchepuka atachepuka tu binafsi sidhan kama distance ndo chanzo pekee cha kuchepuka wake za watu wengi tu huku kitaa wanaliwa na waume zao wakiwepo same kwa wanaume pia unaacha mke home unaenda kwa mchepuko unamaliza yako unarud home kwa mkeo
 
Nakumbuka miaka 10 iliyopita Mr wangu alitaka kuingia jeshini nikamwambia ukikubali tu kwenda mm huku nakusaliti awwww mbona ali cancel sasa hivi ni mfanyabiashara na maisha yanasonga.
Duuh yani unamfungukia kabisa nakusaliti, ni balaa
 
Kumekucha Mjadala Mchachu Huu
Kuna Jamaa Yangu Alikuwa Dar es Salaam
Mkewe Kahamishiwa Dodoma, Kila Siku Kazini Watu Wanapiga Soga Kuwa Huko Dodoma Mkeo Anapigwa Tu


Jamaa Kwa Hasira Sana Hakuomba Uhamisho Alibeba Bag Lake Dodoma Akamwambia Mwajiri Niko Nimemfuta Mke Wangu Dar es Salaam Sirudi.
duuh,,mke wake alikua ofisi gn
 
Nachoamini kama mwanamke anakupenda na muna malengo hata kama uko mbali kiasi gan hawezi kukusalti kirahisi.atakusalti pale atakapo gundua una mtu mwingine na huna mpango nae.

Ila mwanaume ni ngumu kumaliza hata miezi 2.kama kweli hana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
Mwanaume mwenye shida ya nguvu za kiume sio rahisi kubadili mwanamke coz anajua tatizo lake linaenda kujulikana kwa mtu mwingine. So ni mara chache sana kubadilisha mwanamke.
Yaani kama wee rijali kwa kweli kumaliza mwezi tuu bila kula papuchi ni tabu tupu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom