OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,189
- 103,708
Leo nimepata wasaa wa kukumbuka historia yangu ya mahusiano ya kimapenzi na kina Dada niliowahi kujamiiana nao.
Nimefarijika kuona records sio mbaya sana. The list is short kama utekelezaji wa ahadi za Magufuli.
Kukumbuku ya kijinga ni hii ya kuwa na mahusiano "ya kwenye simu" na mtoto akiitwa Teddy(sio jina lake halisi).
Ilikuwa mwanzoni mwa 2011 nikihangaika kutafuta ajira hapa na pale baada ya kumaliza degree yangu ya kwanza. Nakumbuka nilipewa namba yake na mdogo wangu wa kike akiwa ni mate wake secondary moja huko Kahama,lengo ilikuwa anipekelee barua ya maombi pale Anderlake schools.
Nikamuunganishia juu kwa juu mpaka tukawa wapenzi,mapenzi mazito kabisa,nikiwa Dar yeye hapo Kahama. Kipindi hicho sikuwa na mzuka sana na mademu kwa sababu nilitoka kuachwa baada ya kutokuwa na kazi. Kwa hiyo hata kumfungia dogo safari haikuniingia akilini. Ajabu dogo alikuwa akinikubali sana,ananipenda kuliko kawaida mpaka ananitumia nauli za kutafutia kazi..... Hatujuani wala hayujawahi kuonana.
Ikapita miezi sita kavu.....mwisho ikatimia mwaka tukiishi kama wapenzi tukiaminiana na kutumia kadi na picha zetu....Usiku kukesha kufanya mapenzi kwenye simu.
Likatokea tatizo(sitaweza kulitaja) baada ya mwaka tukaachana huko huko kwenye simu.....yaani tulikuwa wapenzi kupitia simu , tukadumu mwaka......tukaachana kabla ya kuwahi hata kuonana.
This is foolish moments
Mapenzi ya kwenye simu, wewe unakumbuka yapi?