Mapenzi ya sasa yanawaumiza wengi kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi ya sasa yanawaumiza wengi kulikoni?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Maalim Jumar, Dec 28, 2011.

 1. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Salaam.
  Mbona najiuliza ni nini?
  Vijana mpaka wazee imekua hawatulii hata kidogo kwenye mapenzi yao?
  Zama hizi kuna utam uliozidi au kuna kitu kimepungua?
  Na siku za miaka iliopita ilikua hivi?
  Mbaya zaidi zama zenyewe magonjwa ni mengi na hatarishi!
  Ni nini ?
  Naombeni kujua!
   
 2. Loreen

  Loreen Senior Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 24, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli mapenzi kwa sasa yanaumiza coz wasichana wamekuwa mcharuko,wanaume mcharuko,watoto wa karne hii wanazaliwa wazuri mno,na wa2 wanaishi bila hofu ya mungu na cku zote wanawaza ngono 2,pia zamani mapenzi yalikuwa ya dhati ila kwa ss hakuna mapenzi bali ni tamaa ,mfano mzuri zamani msichana alikuwa anaangaliwa tabia ila akaja mwana taarabu sorry!(nasma) aliimba naona mambo yako huku tarabu imo tarabu imo we utaumiza roho yako ,.....yaani aliaribu jamii vibaya sn coz watu wakaanza kuishi maisha ya kuangalia km binti anamakalio ikaishia wa2 kuingia kwenye tamaa na sio kupenda,ila ni kwamba hakuna utamu ulio zidi isipokuwa ni shetani anvuna wa2 wake.:yawn:
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Utandawazi umesaidia sana katika kuleta usanii kwenye mapenzi.

  Siku hizi ni rahisi sana kuwa msanii. We fikiria...

  Mtu nyumbani unaweza ukawa na mke au mume na hata mtoto au watoto. Lakini hapa JF pia ukawa na mwenza wako ambaye mnaitana baby au sijui apple pie. Huyo mwenza wako wa JF naye ana mtu wake huko uraiani. Lakini wewe na huyo mwenza wako wa JF wenza wenu wa ukweli hawajui kuhusu uhusiano wenu.

  Sasa katika hali kama hiyo unategemea nini? Na hapo sijazungumzia Facebook, Tagged, gmail chat, yahoo, na upupu mwingine ulioko mtandaoni.
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kuna kitu kimepungua. . . . UTULIVU!!
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Je wangekua wanaambiana "mi kuna mtu hua naflirt nae online ila sina mpango wa kufanya zaidi ya hilo" ingekua afadhali?Unadhani wenzi wao wangechukulia poa?
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Umekipima?
   
 7. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,645
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  Utandawazi...
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Yupp. . . .
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Mtu na akili zake timamu hawezi kumwambia mwenza wake kuwa kuna mtu au watu huwa ana flirt nao online unless mahusiano yao ni huria.
   
 10. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Kama Nyani Ngabu et al alivyosema hapo juu, siku hizi utandawazi umesaidia watu kufunguka. Mtu anaweza kujikuta anamaliza hisia zake zote kupitia mitandaoni kabla hata hajakutana na mhusika. Na kila mara anakutana na watu tofauti tofauti tena wako na kila kitu wengine wanagawa hadi pesa. Ni kujitahidi kumpata anayelandana nawewe.
   
 11. serio

  serio JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,929
  Likes Received: 1,144
  Trophy Points: 280
  hahahaaaaa... una boyfrieind hapa, sweetheart facebook, jf una husband, una fiancee kijijini..una baby ofisini, una honey kanisani, unaaaaaaaaaaaa......una.
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Ukiona somo limewashinda maprofesa, matajili na mali zao wanafeli basi wewe liogope hilo somo, ukitaka kujilipuwa wewe jilipue mambo mengine yatajiseti mbele ya safari.
  Nina rafiki yangu ni mchungaji na amedivorce na mke wake, haya ni sehemu ya maajabu ya dunia ya leo.
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Huko kutakua kuwatendea haki kuliko kujificha ficha (as if una mpango wa kufika mbali zaidi ya kuchekeana chekeana mtandaoni) alafu siku akigundua uwe na kesi ya kujieleza. Kitendo cha kuifanya tu siri kinatosha kabisa kuonyesha kwamba kinachoendelea ni zaidi ya kuflirt. Kama mhusika kweli anaona mahusiano yake sio huria basi asifanye kitu ambacho anaona ni muhimu kumficha mwenzi wake.
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Dec 28, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Hahahaaa yeah hivyo ndivyo ilivyo siku hizi. Wewe pay attention tu hata hapa JF utaona.

  Watu wanajitangaza tena kwa fahari kuwa wako kwenye ndoa lakini unakuta eti wana ma baby wao hapa ambao nao pia wako kwenye ndoa (at least kwa mujibu wao).

  Sasa hapo inquiring minds kama mimi lazima tujiulize kulikoni. Halafu unakuta watu hao hao wanao flirt humu mitandaoni ndo wanakuwa mstari wa mbele katika kufagilia privacy katika ndoa.

  I guess it makes a lot sense to not want your phone being touched even by your spouse coz you are here flirting with every Tom, Dick, Becky, and Lisa.
   
 15. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  NN wengine huita tu baby, husband, dear n etc sio kwamba wana maanisha. Daima kuna mwenyewe kabisa kabisa wa ukweli!
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Dec 28, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Umeolewa wewe?
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Dec 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa kama hawamaanishi kwanini wafanye siri?
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,886
  Likes Received: 83,368
  Trophy Points: 280
  Mtandao umerahisisha sana haya mambo ambayo miaka ya nyuma yalikuwa si rahisi na si Tanzania tu bali dunia nzima. Miaka ya nyuma kabla ya kuwepo mtandao haya mambo yalihitaji muda mwingi sana kuyafanya lakini sasa hivi ni rahisi mno!!!!

   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Dec 28, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Nowadays you are just one click away from infidelity and all that jazz.
   
 20. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #20
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,886
  Likes Received: 83,368
  Trophy Points: 280
  ....very true NN
   
Loading...