Mapenzi ya mbali yananichanganya!

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,978
5,025
Tumekuwa pamoja kwa miaka miwili sasa plus miaka miwili ya kuzungushwa inakuwa minne. Nampenda sana na ndo mtarajiwa wangu Mungu akijalia. Kwa muda wa mwaka mmoja sasa hivi yuko mbali kabisa nami ila navumilia na sijawahi kumcheat. Lakini kuna tabia imejitokeza kama miezi mitatu hivi simuelewi kwa kweli.

Nikipiga simu muda mwingine hapokei wala hata kunitumia msg kwamba yuko busy hakuna, natuma msg hajibu. Kuna wakati akipokea maongezi yake hata nnavyoongea na dada yangu aliyenizidi miaka 25 huwa nafurahia kwani huwa tunataniana. Majibu yake ni mkato na ukimwambia i love you anakujibu, ok! Hii ni tofauti na mwanzo. Nimezoea kila asubuhi na mapema kumsabahi na kumtakia kazi njema lakini siku hizi anapokea cm na kuniambia ana usingizi hata kama ni muda ambao mfanyakazi anatakiwa aamke. Kuna siku ndo kabisa sauti ilikuwa kama kuna breakfast inaendelea, loh!

Nilikata simu na kwenda kufanya mambo yangu. Jana nimempigia simu akawa anaongea kiuoga nikamuuliza, are you at your home? Akakata simu na mpaka leo hapokei. Kuna wakati huwa ananambia simu ni mbovu lakini bado najiuliza mbo wakati mwingine unampigia na kuongea naye? Nifanyeje ndugu zangu? Yaani hata ibada yangu leo imekuwa sio kama kawaida.
 
Mods samahani nimepotea njia. Naomba ihamishiwe mmu!
 
Nyalo hapa hatutibu au kutoa ushauri katika masuala kama hayo. ila pole.
 
ndo maana nikakiri mapema kwamba nimepotea njia na kuomba uzi uhamishwe kwa mods. Au mpaka Smile aje aniombee ndo utahamishwa? Loh!
 
Pole maumivu yako ni kutokana na hisia zako. Uwezekano mkubwa ana mtu mwingine tayari.

Kujihakikishia (itasaidia nadhani), nenda kwake utapata ukweli wote na itasaidia kusupport maamuzi yajayo.

Pole sana mpendwa!
 
Tumekuwa pamoja kwa miaka miwili sasa plus miaka miwili ya kuzungushwa inakuwa minne. Nampenda sana na ndo mtarajiwa wangu Mungu akijalia. Kwa muda wa mwaka mmoja sasa hivi yuko mbali kabisa nami ila navumilia na sijawahi kumcheat. Lakini kuna tabia imejitokeza kama miezi mitatu hivi simuelewi kwa kweli.

Nikipiga simu muda mwingine hapokei wala hata kunitumia msg kwamba yuko busy hakuna, natuma msg hajibu. Kuna wakati akipokea maongezi yake hata nnavyoongea na dada yangu aliyenizidi miaka 25 huwa nafurahia kwani huwa tunataniana. Majibu yake ni mkato na ukimwambia i love you anakujibu, ok! Hii ni tofauti na mwanzo. Nimezoea kila asubuhi na mapema kumsabahi na kumtakia kazi njema lakini siku hizi anapokea cm na kuniambia ana usingizi hata kama ni muda ambao mfanyakazi anatakiwa aamke. Kuna siku ndo kabisa sauti ilikuwa kama kuna breakfast inaendelea, loh!

Nilikata simu na kwenda kufanya mambo yangu. Jana nimempigia simu akawa anaongea kiuoga nikamuuliza, are you at your home? Akakata simu na mpaka leo hapokei. Kuna wakati huwa ananambia simu ni mbovu lakini bado najiuliza mbo wakati mwingine unampigia na kuongea naye? Nifanyeje ndugu zangu? Yaani hata ibada yangu leo imekuwa sio kama kawaida.
hapo siyo mapenzi ya mbali ,hapo nimapenzi hakuna mkuu...........kwisha habari yako wewe songa na maisha.
hlf huyo mpenzi wako yupo wapi mpaka unakaa mwaka mzima hamjaonana?
 
Pole sana ndugu najua namna gani jitu likibadilika huwa kichwani kuna maswali na majibu yanayovuruga kichwa kichizi.Jipangie muda wa kusikilizia uelekeo wake kama atazidi kutoeleweka bora binua meza pasilike kabisa.HERI KUUGUZA DONDA MOJA KUBWA(BREAK) KULIKO KULEA VIDONDA VINGI AMBAVYO KILA SIKU VINAKUJA NA SURA MBALI MBALI(kutoeleweka)
 
Tofauti ya wanawake na wanaume,wanawake huwa wanakolea haraka tofauti na wanaume,mpotezee kwa muda usimpigie wala sms,kunajamaa anagonga huko
 
Me nashauri jaribu kumweleza unavyojisikia NA muombe akueleze kama anajisikia kuwa na wewe ama la ili asikupotezee muda
 
Tofauti ya wanawake na wanaume,wanawake huwa wanakolea haraka tofauti na wanaume,mpotezee kwa muda usimpigie wala sms,kunajamaa anagonga huko
mkuu umeshasema kuna jamaa anagonga huko ,hlf unamshauri ampotezee kwa muda tu?kweli tumetofautiana ,jamaa aibuke huko huko akajionee mwenyewe na kuongea naye tatizo ni nini ,akijua anamegwa na mpango mzima wa pembeni ni kutupa kureeeeeeee! wanawake wapo wengi sana ,tena wazuri ,wenye maadili na wanajitambua.
 
Tofauti ya wanawake na wanaume,wanawake huwa wanakolea haraka tofauti na wanaume,mpotezee kwa muda usimpigie wala sms,kunajamaa anagonga huko
Mkuu unaua kabisaaaaaaaaa! kama umemuona vile,ebu mpe mwenzio matumaini,siunajua kuna yale mambo ya wanawake mda mwengine mtu anakua kama chizi au sio?
 
Usiangaike sana ni simple tu kwenye issue kama hii,mapenzi siku zote yanauma sana na ukitaka ku enjoy lazima saa zingine uchukue uwamuzi mgumu, so wewe mwanzisha thread nadhani utakuwa ni dada, so cha kufanya hapo na wewe toa fikra kichwani za kusema umekuwa nae kwa mda mrefu, wewe cha kufanya now kata mawasiliano usipige simu wala usitume message,atakaaa atashtuka atakupigia back najuwa no matter what kama mmekuwa pamoja for that long hata apate mtu mwingine hisia haziwezi kutoka kwako,so after hapo endapo akikucall na wewe ongea kwa mapozi, sio ufanye hivyo kila siku kwa mda mfupi tu ukimuona amekaa sawa kama kawaida rudisha mapenzi yako kwake na ukimuona yupo kwenye mood muulize kama ana mtu mwingine huko au hana then from there utajuwa nini cha kufanya,for now chukua uwamuzi mgumu......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Tafuta rafiki aliye karibu naye achunguze.. lkn dalili zote zaonyesha huyo hakupendi.. Jiondoe mapema tafuta atakayekupenda kwa dhati
 
hapo siyo mapenzi ya mbali ,hapo nimapenzi hakuna mkuu...........kwisha habari yako wewe songa na maisha.
hlf huyo mpenzi wako yupo wapi mpaka unakaa mwaka mzima hamjaonana?

Hauishi mwezi nasafiri kutoka mwanzo hadi mwisho wa nchi kumfata baby asakuta same....
Kweli mapenzi ni zidi ya breakdown!!!
 
Ngoja nipige Guiness 2 nitakupa ushauri mzuri kutokana na uzoefu wangu.
 
Binadamu ndivyo walivyo huwezi pata perfect one yaani itakutokea kuwa ukiongea na mwingine anajibu vizuri ila yule unae mpenda jibu lake kama vile unamuudhi vile
 
aya maskin pole we!mapenzi hayatabiri.nenda kwa kushtukiza utajua kama n hisia zako au kweli kashapata muhsani.
 
Tumekuwa pamoja kwa miaka miwili sasa plus miaka miwili ya kuzungushwa inakuwa minne. Nampenda sana na ndo mtarajiwa wangu Mungu akijalia. Kwa muda wa mwaka mmoja sasa hivi yuko mbali kabisa nami ila navumilia na sijawahi kumcheat. Lakini kuna tabia imejitokeza kama miezi mitatu hivi simuelewi kwa kweli.

Nikipiga simu muda mwingine hapokei wala hata kunitumia msg kwamba yuko busy hakuna, natuma msg hajibu. Kuna wakati akipokea maongezi yake hata nnavyoongea na dada yangu aliyenizidi miaka 25 huwa nafurahia kwani huwa tunataniana. Majibu yake ni mkato na ukimwambia i love you anakujibu, ok! Hii ni tofauti na mwanzo. Nimezoea kila asubuhi na mapema kumsabahi na kumtakia kazi njema lakini siku hizi anapokea cm na kuniambia ana usingizi hata kama ni muda ambao mfanyakazi anatakiwa aamke. Kuna siku ndo kabisa sauti ilikuwa kama kuna breakfast inaendelea, loh!

Nilikata simu na kwenda kufanya mambo yangu. Jana nimempigia simu akawa anaongea kiuoga nikamuuliza, are you at your home? Akakata simu na mpaka leo hapokei. Kuna wakati huwa ananambia simu ni mbovu lakini bado najiuliza mbo wakati mwingine unampigia na kuongea naye? Nifanyeje ndugu zangu? Yaani hata ibada yangu leo imekuwa sio kama kawaida.

out sight out of mind,kusoma hujui hatapicha huwezi kuiona,"ukiona manyoya ujue kashaliwa huyoo"
 
yani wewe na akili zako zote unashindwa kujua..manzi kama hakukubali ukimtell i love u anakwambia ok..ama thanks..jombaa..Jipangeeeeeee warembo wote hawa we unakomaa na long distance? amin kwamba kuna mtu anakula mzigo huo...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom