denzo washington
Member
- May 7, 2013
- 23
- 7
Katika maisha kamwe usije mdharau au kumtesa mtu ambaye anakupenda,kukuthamin na kukujali kwa dhati,ogopa sana.mara nyingi inatokea unakuta mtu anakupenda kwa dhati na unalijua hilo,anafanya mambo kibao kwa ajili yako,yupo tayari ajinyime yeye ili tu wewe upate,ogopa sana kumdharau mtu wa aina hii,kwani imethibitishwa penzi la dhati ni lile la mwanaume kumpenda msichana,na sio msichana kumpenda mwanaume apa dada utateseka sana,tena utajuta kuzaliwa,kama ukibahatika kumpata mtu anayekupenda we tulia,najua mapenzi ni hisia,inawezekana ukawa unampenda mtu mwingine kabisa ila ukweli utabaki kuwa huu,mwanaume akikupenda kakupenda,hata awe malaya kiasi gani kama kakupenda wewe kakupenda tu.tofauti na wasichana kama ukilazimisha kuwa na mvulana kwa kuwa umemtamani sijui handsome,sijui.ana sex body utaambuliwa kuchezewa na kuumizwa tu,kamwe hawezi kukupenda.mwanaume akikupenda utajua tu hata awe malaya kiasi gani,na kwa taarifa yako tu umalaya wa mwanaume sio kama hakupendi au umridhishi bali ni hulka tu ya kiume hiko hvyo,so kama ukipata mtu anayekupenda mpende tu kama unajipenda na hutak kuumiza moyo wako