Mapenzi ya kizazi hiki na heshima mbele ya wazazi yamenichosha. Oooops!!

Kwa jinsi ulivyoleta hii thread naona mtoto hana makosa kabisa kwani amerithi tabia yako ya kuchukulia mzaha kila jambo.

mimi c wa mizaha, na ninajua ishu za family huwa hazihitaji mzaha.

je huwa unaongea na mtoto wako arudipo toka shule au huna hiiyo tabia??? pia inaonyesha una weekness fulani ambayo huyo mwanao anaitumia na wewe unashindwa kuchukua hatua

hebu niambie hiyo wknss manake naona unakuja na utbiri hapa, halafu uniambie ni nini cha kumfanya

hebu niambie hiyo wknss manake naona unakuja na utbiri hapa, halafu uniambie ni nini cha kumfanya

Be a father to her show her the meaning of you being a father to her na achana na masuala ya kumwambia kuwa wanaume ni wabaya
Ukimwambia wanaume ni wabaya atakuambia basi na wewe ni mbaya kwa mama

mimi hiyo avatar yake sijui imekaaje,..nilifikiri ni 'she'....kumbe ni mwenzetu bana,.......ushauri wangu ubadili avatar utaona mabadiliko ya mtoto wako

avator ina uhusiano gan na tabia yake?acha kukurupuka. Kila anayetumia avatar hapa jf anaitumia kwa sababu zake binafsi.siwez kuwekq avator kwa ajili ya kukufurahisha wewe.

Ni mzima darasani? Ilopo ni kumweka wazi kuwa ngono inasababisha mimba na kuaribu future yake, HIV na kuwa mwazi bila kumficha chochote kwani hakuna kitu asichokijua

Hii ngoma ulipaswa uicheze wewe mkuu. Wanaume acheni aibu na mzungumze na watoto wenu wa kike. Ni rahisi kwa mtoto wa kuelewa akielezwa na baba yake kuhusu mapenzi kuliko mama yake.

Kaeni nae pamoja na nyie mmuulize anapenda nini na mumpe uhuru wenye mipaka na kumuelimisha hasara YA KUFANYA MAPENZI katika umri mdogo na faida ya kusubiri ila usiwe mkali awe huru kuuliza na kupewa majibu ya wazi na ya kweli kwani atakuwa anajua kila kitu

.........duuh,huyo mtoto atakuwa anakuonea wivu wewe na mkewe so ameamua kusawazisha!!!pole,ila kama baba unanafasi kubwa sana ya kumrekebisha!angalia maoni ya wadau,chambua na jumlisha na yako utamweza tu

.........duuh,huyo mtoto atakuwa anakuonea wivu wewe na mkewe so ameamua kusawazisha!!!pole,ila kama baba unanafasi kubwa sana ya kumrekebisha!angalia maoni ya wadau,chambua na jumlisha na yako utamweza tu

thx,nitadeal naye personal sasa

Natamani kama huyu Baba angehudhuria mahubiri ya Mwl. Mwakasege yalihitimishwa Jumapili 11/9/11 angetambua hatari zinazowakabili watoto wa kike na angejikita katika maombi kwaajili ya binti yake. Tafuta kanda/cd za mahubiri hayo nawe utaniambia kitu baada ya kusikiliza

Back
Top Bottom