Mapenzi Ya Kikauzu!!

Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,519
1,825
Mi Sipendi Huyu Mpenzi Ambae Nikiwa Nae Anakaza, Ila Kwa Wengne Analegeza(full Kutabasam Na Kujichekesha)!

Mpenzi Huyu Ambae Hataki Tule Pamoja(Mda Wa Chakula Ukifika Anajiweka Bize Na Mambo Mengine!)

Mpenzi Wangu Huyu Nikirudi Kazini Yeye Anaendelea Na Soga Kibarazani Na Shogaze(Hata Kuniangalia Hataki)

Mpenzi Wangu Huyu Ambae Hatofautishi Mda Wa Kubanjuana Na Mda Wa Kazi!!
Mpenzi Huyu Ambae Toka Niwe Nae Yeye Kazi Yake Kunibp Tu!
Mapenzi Gani Haya Jaman!!?...Aah!
 
hahahaaaaaaaa kweli yamekukuta mwenzetu hebu jiangalie wapi na wewe unakosea, ongea nae taratibu ujue nini tatizo.
 
Oooh! Pole sana rafiki.
Ila ningependa ujue kwamba unaweza ukawa wewe ndo sababu inayomfanya mwenzi wako asipende kukaa karibu yako na hata kukupa mapenzi kwa wakati.
Hii hutokea sana hasa pale mmoja wenu kuwa mkali kwa mwenzake hususa ni pale anapomkuta amekaa na wenzake wakibadilishana mawazo au kujadili mada tofauti tofauti.

Au huenda haumpi mapenzi ya dhati pale yeye anapohitiji hivyo humfanya kuchukua muda kumpatia mtu mwingine penzi hilo na pale unapohitaji anakua hana hisia za kimapenzi hivyo hujifanya busy ili usimsumbue.

Au huenda unajihusisha na wanawake muda mwingi hivyo kutokukuamini kwamba unampenda kwa dhati coz mtu huwa na wivu kwa yule ampendae kwa dhati na pia hayuko tayari kumpoteza kirahisi.

Au naona jaribu kurudisha kumbukumbu zake huenda kuna siku yoyote uliyomuudhi hivyo humfanya ajisikie hasira pindi akuonapo. Na endapo ukibaini hivyo jaribu kuwa mpole kwa kumuomba forgiveness naamini atakusamehe.

Nakutakia kila la kheri.
 
Kuna wimbo unaema "ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo.."pole mwanaume mwenzetu..najua umeshikwa hapo ila omba Mungu atakusadia..
 
Mi Sipendi Huyu Mpenzi Ambae
Nikiwa Nae Anakaza, Ila Kwa Wengne Analegeza(full Kutabasam Na
Kujichekesha)!

Mpenzi Huyu Ambae Hataki Tule Pamoja(Mda Wa Chakula Ukifika Anajiweka
Bize Na Mambo Mengine!)

Mpenzi Wangu Huyu Nikirudi Kazini Yeye Anaendelea Na Soga Kibarazani Na
Shogaze(Hata Kuniangalia Hataki)

Mpenzi Wangu Huyu Ambae Hatofautishi Mda Wa Kubanjuana Na Mda Wa Kazi!!
Mpenzi Huyu Ambae Toka Niwe Nae Yeye Kazi Yake Kunibp Tu!
Mapenzi Gani Haya Jaman!!?...Aah!

Piga chiniiiiiii!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom