Mapenzi ya jinsia moja yaota mizizi mkoani morogoro....maambukizi ya ukimwi nayo yaongezeka

the thing is that, hakuna sheria inayohalalisha icho kitu, hivyo anayefanya awe tayari, anything can happen to her. but you are correct, bilashaka sio mda mrefu hilo nalo litawekwa kwenye statutes. hiyo haimaanishi kuwa usagaji unaruhusiwa kwasababu sheria ipo silent, sheria ipo kimya kwasababu kwa desturi na tamaduni za kitz, vichwani mwetu tulikuwa hatujui kama kitu kama hicho kipo hapa duniani. mimi hadi nafikia chuo kikuu nilikuwa sijui how it works hata kwa mwanaume kwa mwanaume (ushoga), hadi niliuliza watu kwamba inakuwaje mwanaume kuwa na mwanaume mwenzie, kwasababu katika desturi na familia nilizotoka, sijawahi kusikia kitu kama icho kinatendeka hivyo iwas so curious kujua inakuwaje, kwasababu haja kubwa ni ya choo tena choo cha mtu mzima ninahisi kitakuwa kinanuka sanaaa, nikawa sijui how that can work. televisions mitandao etc imekuja kunifumbua macho kuona kumbe hapa duniani kuna mambo ya ajabu kama haya, kwamba mtu na akili zake anaweza kufanya kitu kama hicho, hiyo hakika ni sodoma na gomora na dunia hii imekwisha kabisa. Mungu atusaidie. hivyo hata usagaji, jaribu kufanya research kuuliza mtaani, watu hawajui usagaji ni nini, kwasababu ni kitu kigeni kabisa, shetani wa magaribi kavamia africa.
 
Hivi UKIMWI bado upo..?? Nina miaka karibuni mitatu sasa sijamwona mwathirika.

ohooooooooooo mkuu wewe uko dunia ipi??

Ukimwi + ARV = full mng'ao. We subiri uone watu waliokongoroka, u will never see them lolz.
 
Sasa huyo dada anaonekana live jamani, hivi watu wanaomjua wakiona hii picha si noma

Unajua haya mambo naona yamepiga hodo kwa kasi na hao wahusika nao wameyapokea kwa 'ulimbukeni' wa hali juu ikiwa ni 'copy and paste' style...maana hata majuu kwenye chimbuko la uliberali bado watu wana staha zao. Sasa ukiwatazama hao masiste unajioonea ulimbukeni tu!
 
Back
Top Bottom