Mapenzi ya jinsia moja mkoani Iringa aibu ya jamii na kuenea kwake

edwin adenisy

New Member
Feb 21, 2014
3
1
MAPENZI YA JINSIA MOJA MKOANI IRINGA AIBU YA JAMII NA KUENEA KWAKE.

Ukitaka Kumuua Nyoka Lazima Umpige Mkiani.

Kwa Karibu Siku Tatu Hadi Nne Suala la Mapenzi ya Jinsia Moja na Hasa kwa Wanaume Mkoa wa Iringa Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania Linagonga Vichwa Vya Habari Katika Safu za Magazeti au Vipindi vya Habari, Mitandao ya Kijamii, Vijiwe Maarufu kwa Mikusanyiko ya Watu Nyakati za Jioni na Hata Katika Ofisi za Serikali ya Mkoa wa Iringa.

Mijadala Imekuwa Moto Moto Katika Kada Hizo za Kupashana Habari, Chagizo Kubwa ni Habari Iliyotolewa na Kituo Kimoja cha Televisheni Chenye Maskani Yake Mkoani Mwanza Ambapo Ripoti hiyo Inautaja Mkoa wa Iringa Kuwa na Kiasi cha Wanaume Wanaoshiriki Mapenzi ya Jinsia Moja 1500, Idadi Inayopingwa Vikali na Wengine Kuiunga Mkono.

Lakini Je Historia na Jografia ya Mkoa Huu wa Milimani Inasemaje Kuhusu Suala hili la Mapenzi ya Jinsia Moja na Hasa kwa Upande wa Wanaume, Mara Baada ya Kumalizika kwa Vita ya Pili ya Dunia na Kiasa cha Wanajeshi wa Serikali ya Uingereza Kusalia Katika Baada ya Mikoa Hapa Nchini Inatajwa Kama Moja ya Asili ya Tatizo hili la Mapenzi ya Jinsia Moja.

Wanajeshi na hasa Katika Nchi za Mbali Wanatajwa Kuwa na Tabia Hizi za Kuingilia Kimapenzi Kwa Nguvu au Kwa hiari ya Mtu Kutokana na Makundi hayo Kukaa kwa Muda Mrefu Zaidi Pasipo Kuonana Kimapenzi na Jinsia ya Kike, Na Inadaiwa Kuwa Wanajeshi wa Kiingereza Walikuwa na tabia Hiyo Iliyosalia Kama Mabaki ya Madhara ya Vita ya Pili ya Dunia.

Jografia ya Mkoa huu wa Nyanda za Juu Kusini Inatazamwaje Katika Kiwango Hicho cha Ukubwa wa Tatizo la Mapenzi ya Jinsia Moja, Mtaalam Mmoja wa Afya Anasema Kwa Jinsi Mkoa wa Iringa Ulivyo Haukupaswa Kuwa na Kiwango Kikubwa cha Tatizo la Mapenzi ya Jinsia Moja kwa Kuwa Uko Umbali Mrefu Kutoka Asili ya Bahari Kunakosadikika Matendo Hayo ni Mengi Zaidi.

Lakini Mpangilio wa Mkoa wa Iringa Unatajwa Kuwa Sababu ya Mkoa Huu Kushindwa Kudhibiti Kuenea Kwa Tabia Hiyo Inayotazamwa na Jamii Kama ni Jambo la Kusadikika, Mkoa wa Iringa Hauna Sehemu Maalum na Inayojulikana kwa Anasa na Umalaya, Jambo Linalotajwa Kuwa Chanzo cha Tabia Hizi Kufanyika Kila Mahali na Kuenea kwa Kasi ya Umeme.

Mtaalamu wa Saikolojia Katika Chuo Kikuu cha Iringa Mchungaji Robert Rwiza, Anasema Katika Utafiti Wake Tatizo la Mapenzi ya Jinsia Moja Mkoani Iringa ni Kubwa na Wanajamii wa Mkoa Husika Wanaona Haya Kulizungumzia Hadharani, Licha ya Kuwa Wahusika wake Kufanya Matendo hayo kwa Siri Kubwa Zaidi.

Hata Hivyo Mtaalamu Huyu wa Saikolojia Amedokeza Kuwa Makundi Makubwa Yanayoonekana Kuwa Katika Hatari ya Mapenzi ya Jinsia Moja ni Kundi la Majeshi, Kundi la Watu Waliofungwa au Kuwahi Kufungwa Katika Magereza, Kundi la Watu Waliotendewa Matendo Hayo Wakati wa Udogo Wao na Kupenda Kuendelea Na Tabia Hizo Kutokana na Misukumo ya Mifumo ya Mwili na Kundi la Watu Wanaolipiza Kisasi Kutokana Aidha Wao Kutendewa Au Ndugu Zao Kutendewa Matendo Hayo.

Kumekuwa na Mvutano Kuhusu Sababu Zinazosababisha Watu Kushiriki Mapenzi ya Jinsia Moja na Hasa kwa Wanaume, Madaktari Karibu Kote Ulimwenguni Wanatofautiana Chanzo Chake, Jukwaa Moja wa Madaktari Liweka Mapenzi ya Jinsia Moja kwa Wanaume Kama Ugonjwa na Baadaye Kutoa kama Ugonjwa na Kuweka Kama Matakwa ya Mtu Binafsi.

Nimemuuliza Mchungaji Robert Ikiwa ni Kweli Kushiriki Mapenzi ya Jinsia Moja Ni Ugonjwa Kama Iliyo Magonjwa Mengine au Ni Matakwa na Matamanio ya Mtu Binafsi, Robert Anasema Mapenzi ya Jinsia Moja Kusababishwa na Vichocheo vya Mwili (hormone) ni Kwa Kiwango Kidogo Ila Mazingira ya Makuzi, Kulipiza Kisasi, Kulazimishwa na Kisha Kupenda Mchezo huo Mchafu na Umasikini ni Moja ya Sababu Kubwa Zaidi.

Ambapo Ripoti Zinaeleza Kuwa Watu Wanaoshiriki Mapenzi ya Jinsia Moja (Mashoga) Mkoani Iringa Hulipwa Kiwango cha Chini Kati ya 350,000 hadi 400,000 kwa Tendo Moja la Ngono, Kiwango Sawa na Wanawake Wanaoingiliwa Kinyume na Maumbile Katika Mkoa huu, na Ripoti Zinazopinngwa Vikali na Viongozi wa Mkoa Vinawataja Wanavyuo Kuwa Vinara wa Matukio Hayo.

Mtu Moja Ambaye Hajataka Kulitaja Jina Lake Amenidukulia Kuwa Waarabu ndio Watu Wanaongoza kwa Kutaka Huduma ya Kuwaingilia Wanawake na Wanaume Kinyume cha Maumbile na Sababu Kubwa Inayotajwa ni Kuwa Waarabu hao Hujisikia Fahari Isiyo Kifani Wanapotangaza Kumwingilia Kinyume na Maumbile Wanaume au Mwanamke wa Elimu ya Juu na Kisha Kulipa Pesa.

Hata Hivyo Hakuna Mtu Aliyethibitisha Madai Hayo Lakini Kila Lisemwalo Lipo Kama halipo Wanadai Linakuja.

Hakuna Utafiti Ulitolewa hadharani Kuthibitisha madai ya Kiwango cha Wanaume Wanaoshiriki Mapenzi ya Jinsia Moja Kufikia 1500 Mkoani Iringa Lakini Mtaalamu wa Kiba ya Saikoljia Mchungaji Robert Rwiza wa Chuo Kikuu cha Iringa Anasema Huenda Ripoti Hiyo Inayokadiriwa Inaweza Kuwa Sawa Au Kudizi 1500 Katika Mkoa wa Iringa na Hasa Katika Kitovu Chake Manispaa ya Iringa.

Kuwa Jamii Inajaribu Kulifumbia Macho Sula Hilo kwa Wazazi na Walezi Kuamini Familia Zao Zipo Salama Zaidi Kiasi cha Kutoona Umuhimu wa Kuzungumza na Watoto Kuhusu Mapenzi ya Jinsi Moja na Kitisho Kikubwa kwa Watoto wa Kiume Ambao Wakati Wingine Huingiliwa Kwa Nguvu na Wakubwa Wao na Kuwa Tabia Endelevu.

Jamii Bado Ina mtazamo Hasi Kuhusu Mapenzi ya Jinsia Moja Vijijini nako Kunaendelea Kumeea Mizizi Lakini Lipoti Zinataja Kuwa Kufuatia Muingiliano wa Makundi Mbalimbali ya Watu, na Wafugwa Waliorudi Kutoka Magerezaji ndio Mawakala wa uenezaji wa Tabia hii Ambayo Hata Maafisa w Magereza Wanakana Kuwa Inakutikana Katka Magereza Hayo.

Mwanzo mwa Mwaka 2015 Mtu Moja Aliyokuwa Amefungwa Katika Gereza la Iringa Kwa Kiasi Fulani cha Muda Katika Mahojiano Yangu naye Wakati Nikuwa Mtangazji wa ituo cha Radio cha Hope Fm Kinachomilikiwa na Chuo Kikuu cha Iringa Alidokeza kuwa Mapenzi ya Jinsia Moja Katika Magereza ni Tabia Inayofanywa na Wafungwa Wenye Vyeo vya Unyapala Au Nguvu Dhidi ya Wanyonge.

Lakini Natazama Kama Jamii Ndio Kiini cha Kukua na Kuenee kwa Tatizo ili Sio Tu kwa Mkoa wa Iringa Bali kwa Taifa kwa Ujumla Vyombo vya Serikali, Taasisi za Dini, Tasisi ya Familia na Vyombo vya Habari Pamoja na Wataalamu wa Tiba za Saikolojia Kuvaa Nyuso za Aibu na Kutinga Miwani Mweusi Kutoona Jambo Linalokuwa Kwa Kasi ya Ajabu Miongoni mwa Wanajamii.

Mchungaji Robert Rwiza Mtaalamu wa Tiba ya Saikolojia Chuo Kikuu cha Iringa Anasema Tatizo Hilo la Hamu ya Kuendelea Kushiriki Mapenzi ya Jinsia Moja Linatibika kwa Mbinu za Kisaikolojia na Ikiwa Hatua Iliyofikia Ni Mbaya Zaidi Wataalamu wa Saikolojia Hushirikiana na Madaktari wa Hospitali Kwa Dawa na Kutumia Mbinu za Kisaikolojia na Baadaye Mhusika Kuchukia na Kuacha Kabisa Tabia Hiyo Mbaya Inayokatazwa na Dini Zote.

Nyoka Anapigwa Wapi Sasa Kwenye Hili ya Mapenzi ya Jinsia Moja??? Je Tumpige Kichwani au Kupiga Mkiani na Je Tumpige Kichwa na Kupiga Mkiani au Tuanze na Mkiani na Kumaliza na Kichwani Ili Kumuua?????!!!!!

Nyoka Hupigwa Kichwani na Mkiani ili Kuuliwa.

By, Dugange Edwin.

Ebony Habari (EBONY FM)
 
  • Thanks
Reactions: kbm

mashoga washakuwa wengi mno hapa Tanzania...Iringa nayo sasa naiskia....Tanga Dar wamejaa tele....huko instagram ni balaa.
 
Inavyo Onekana Elimu Itolewe Kwa Vijana Kwendana Na Tabia Ambayo Inajitokeza Na Madhara Yake Ni Yapi.
Mji wa Iringa ni mdogo sana kama ungekuwa na mashoga 1500 wangeonekana mtaani. Serikali ilimulike hilo shirika la restless development.. Wanapita vyuoni, wanajifanya wanaelimisha kumbe wanafunzi wanajiandikisha kushiriki shughuli zao wao wanawaita mashoga. Nafikiri serikali iwabane waonyeshe hata shoga 100 tu waliojitangaza.
 
Kutokana Na Ufinyu Wa Kuelewa Nadhani Hao Mashoga Watajitangaza Tu Lakini Hii Inatokana Na Malezi Waliyoyapata Walipo Kuwa Watoto Pia Ni Saikolojia Imewakaliapembeni Hivyo Saikolojia Itumike Kuwaepusha Hususani Vijana Katika Wimbi Hili La Mapenzi Ya Jinsia Moja.
 
Tunangojea sheria ya takwimu ichukue mkondo wake kwa shirika la restless development... Wakazi wa Iringa tuna wasiwasi na takwimu zao. Serikali isiwaache kwa vile ni wazungu.
 
Ni Kweli Kwa Unalolisema Ndugu Ila Kutokana Na Baadhi Ya Watu Kutawaliwa Na Ukoloni Mamboleo Itakuwa Ni Vigumu Kwa Watu Kuamini Serikali Na Hivyo Itawapeleka Katika Kuendelea Kuwaamini Hao Hao Wazungu.
Dunia Inahitaji Maombezi Kwani Sodoma Na Gomora Imerudi Tena Na Mwisho Wa Dunia Upo Karibu Kama Idadi Ya Mashoga Kwa Mkoa Mmoja Ni 1500.
 
Kiuhalisia tafiti izo za ushoga zilizotolewa na taasisi ya restless hazina uhalisia kwa kiwango hicho.Kwan huwa napata fursa ya kutembelea moja ya taasisi ya elimu ya juu ya mkoan Iringa mara kwamara ambayo ndizo znazohusishwa na utafit huo si sahihi kuhusiana na utafiti huo.kwani kama kungekuwa na namba kubwa ya waathilika wa kadhia ya ushoga ingejionesha
 
Ni kweli watanzania tumeendelea kujifanya tunaona aibu lkn tatizo hilo limekuwa janga
 
Hii habari sio kweli 100%, binafsi nimekaa sana Iringa nimezunguka sana kumbi za starehe sijawahi ona hata shoga mmoja!
Huko vyuoni RUCU, TUMAINI, MKWAWA na vyuo vingine nimepita sana napo sijawahi ona shoga.

Kwa idadi ya 1500 walioitaja ni wazi kabisa kwamba hawa watu wangeonekana wazi kabisa yaani sio wakutafuta! Kama ni vyuoni au katika kumbi za starehe wangeonekana wazi kabisa lakini cha kushangaza hawaonekani!

Hawa watu walilofanya huu utafiti wanatakiwa kuhojiwa zaidi maana huu ni upotoshaji mkubwa!
 
Kwa watu 1500 pale iringa wangeonekana kabisa,yaani ukienda mabanda ya kitimoto ccm wasingekuwa wanakosekana mashoga 100 kwa siku. Hii taasisi ipogwe ban kwa takwimu za uongo kiasi hiki
 
Hii research ya hawa jamaa hata mm sikubalian nayo, nimekaa iringa miaka minne sijawah shuhudia haya mambo, labda sijui itakuwa iringa ipi hyo?
 
habari hii ni uzushi mtupu,hata ukiangalia maudhui ya habari kama ilivyolipotiwa na oliver motto ni uwongo mtupu.Iringa shoga akiwa mmoja tutamjua iringa nzima kuonesha sio suala la kawaida afu itakuwa1500 ptuuu
 
Kwani sho
Kwa watu 1500 pale iringa wangeonekana kabisa,yaani ukienda mabanda ya kitimoto ccm wasingekuwa wanakosekana mashoga 100 kwa siku. Hii taasisi ipogwe ban kwa takwimu za uongo kiasi hiki

Kwani shoga lazima muonekano wake uwe wa kike??
 
hao watafiti serikali iwabane wanakuja na wrong research kuchafua taswira ya jamii zetu.
 
Back
Top Bottom