Mapenzi ya dhati kwa mkewe na familia yake, edward lowassa

martin nyongo

New Member
Jul 30, 2015
2
0
Edward Lowassa, waziri mkuu mstaafu mwenye mapenzi yadhiti kwa mkewe na familia yake,
Ni ukweli usio pingika kwamba Edward Lowassa ni mtu wa familia kwanza,


Sisi sote tunajua Mwanaume shupavu ni yule ambae sikuzote familia kwanza,
9k=

Katika kitabu cha “The Family is central to God’s plan”
Kina sema, Its no stretch to say that a person has aserious advantage in life if they come from a loving and supportive home,
Many people still succeed though they come from less thanideal family situations, but having our basic need met, knowing that ourparents love us and learning life lessons at home make all the challenges of dayto day living that much easier to face.
2Q==
God organizes us into families so that we can grow up in happiness andsafety and so that we can learn to love others selflessly. The key to true joy,Within the family is the best place to learn to love others the way HeavenlyFather loves each one of us.
Siku mama Regina Lowassa anatimiza miaka 60 ya kuzaliwawalimpongeza kwa kumwimbia wimbo
Z
Z

Na hizo ni juhudi za mhe. Lowassa na mkwewe mama ReginaLowassa kuthamini familia na kuweka misingi ya amani na upendo,
Sote tunajua kwamba “ The effort we put into strengtheningour families is the hardest and most significant work any of us will do onearth.
Keeping a peaceful home and putting others needs firsthas a refining effect on us and it is no coincidence that these things cansometimes be grueling. God meant for us to be tested so we could grow andmaster skills we wouldn’t learn any other way skills like patience andunselfishness that will help us became more like God and prepare us to likewith our families throughout eternity.
2Q==

David O.Mckay alisema, No other success can compensatefor failure in the home,
Mama Regina amekua bega kwa bega na mumewe tokea alivyoachia ngazi uwaziri mkuu na kumfariji na kumpa matumaini na kumwombe mumewe nafamilia yake kwa mwenyezi Mungu,
9k=

Mama Regina Lowassa alisema tusiogope masengenyo walamaneno ya ovyo sisi tusonge mbele. Tusiogope manyanyaso wala maneno ya kashfasisi tusonge mbele,
Hayo ni mapenzi ya dhati kwa mumewe, Mama Lowassa amewezakuvumilia hayo yote na kua sambamba na mumewe kwenye shinda na raha,
2Q==

Kuna nyimbo ya Whitney Houston inaitwa Family comesfirst, kuna sehemu inasema
Nothing’s better than family,
For the ones who love you so,
Be a shoulder to cry on when your in need,
They’ll never leave you alone, no
When your friends bring you down,
And they drag you through the dirt, girl
And when nobody’s around,
They’ll carry you through the hurt.
Just remember that family comes first.
Watanzania tunaitaji baba mwenye kujali familia nakuwalea kwenye misingi ya amani, upendo na dini. Sisi Watanzania wote nifamilia moja,
9k=

Watanzania tunaitaji mama wenye kujali familia, tunaitaji mama shupavu,wenye uvumilivu na mwenye upendo wa dhati kwa familia yake na familia yawatanzania yote kwa ujumla.
2Q==

Watanzania ni wakati wa mabadiliko,
 

Attachments

  • mapenzi ya dhati kwa familia ya Edward Lowassa na Mama Regina Lowassa.docx
    567.5 KB · Views: 460
Umenena mdau!Familia iliyoparaganyika na isiyo na upendo hufanya wanafamilia wote
kupoteza mwelekeo wa maisha na kuonekana kama kituko fulani.
 
Back
Top Bottom