Mapenzi ya barua yalikuwa matamu sana.Anayepinga huyo hana ulegend!!

Mimi shule msingi nilimwandikia mtoto wa mwalimu ,Sijui alidondosha ,aliyeipata akaenda kuibandika kwenye kengele ya shule ,mwalimu wa zamu akaiona ee bhana akaisoma mbele ya wanafunzi na viboko juu.

Halafu barua yenyewe inaongea hadi kumwoa nilivyo mpuuzi.
Hatari😅
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom