Mapenzi si umri, a nice pic.

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,533
196
163739_1670331470957_1017453659_1781181_6614776_n.jpg


age is nothing but a number. Na jamaa si tajiri, so kitu ni true love.
 
Duh! Nimecheka kufa! Huyu babu ana vituko! Kwanza pozi lake la uhakika. isitoshe naona amenyanyua "inkosikazi" juu kana kwamba anatangaza vita kwa yeyote atakayetaka kunyemelea mrembo wake: kwamba atakiona cha mtema kuni. Loh!
 
Huyo msichana ajiandae, kuna siku hako kazana ambako kako mkononi mwa hako kazee kitaishia kubonda kichwa cha binti...
sitaki kufikiria huko.
 
Nilipoiona title ya thread kabla ya kuiona picha niliwaza, "Lazima mwanamme atakuwa mkubwa kwa mwanamke."
 
Naona mkono unagusa nanihii pale kifuani... sijui hata kama anajua alichoshika!!!
 
Vipo vizee vipo fit kuliko hata hao vijana mapenzi hayana umri!

Haswa ukiongezea na kutembea vichupi vimetokeza nje ya suruali makalio yanaonekana pamoja na kuvaa "ear rings" na kusuka nywele, Ile nguvu ya ya uume kwishilia mbali wanafanana. Lakini angalia mzee alivyo poose! Nampa heko! Anahakika na jinsianavyotimiza wajibu mpaka wengine wanadhani kimwana kalewa kumbe karidhika mno!!!
 
Huyu ni mzee wa ukweli! Hapa alikuwa anaonyesha kwa vitendo jinsi alivyokuwa mahiri enzi zake kuwanasa vidosho. Ng'ombe hazeeki maini bwana alaaaa!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom